Kwa uongeaji huu wa Moses Iyobo unaleta umashaka kwa mtoto wa kiume

Kwa uongeaji huu wa Moses Iyobo unaleta umashaka kwa mtoto wa kiume

hivi huyu ni mtanzania, akili yangu yote nilidhani ni Mnijeria, huwa siwaamini wanenguaji wa kiume, wako exoposed sana kwa MABAZAZI.
 
Kuna wakati naamini kuna watu wanazaliwa kinyume na maumbile ya mama zao!

Zama hizi watoto wa kike ndio strong zaidi kuliko wa kiume.
 
Aunt alihitaji heshima tu i bet huyu jamaa anachezea vibao
 
zanzibar wanamgombea mtu kama huyu,na dubai mpaka saudia angepelekwa wallah,
 
Sauti ya kiume lazima kule kwenye taka ngumu kuwe bikira kama ikilegea sauti tia shaka kukaza sauti huwezi tena
 
Hivi mwanaume unaweza kuishi na mwanamke halafu huyo mwanamke awe anakupangia,
Anakwambia tusiwe tunafatana fuatana na kuulizana uko wapi na nani na ulienda kufanya nini!
Halafu mwanaume unakubali [emoji87][emoji87]
 
Kutokana yupo WCB kumtetea nilazima hatuangalii mapozi yake wala tunasema sauti ndio alioumbwa nayo.
 
Back
Top Bottom