Kwa uongo huu wa Serikali ya CCM, natamani kuhama nchi

Kwa uongo huu wa Serikali ya CCM, natamani kuhama nchi

Mkuu utakapoanza safari ya kuhama nchi naomba unitaarifu angalau nikutumie buku la kula njiani!
 
Ukiiona yanayofanyika kwenye uchaguzi mkuu unajiridhisha hii nchi haina maadili kabisaaaaa...viongozi hawaoni aibu kuibaa!!!
Eti wanaweka somo la maadili mashuleni alafu walimu wanaofundisha ndiyo haohao wanatumika kuiba kura 🤣🤣🤣🤣🤣
Nchijinga hii ptuuh!!!
 
Hahahahaha Jafo kama yupo kwenye kikundi cha futuhi vile😂😂😂😂😂
 
Hahahahaha Jafo kama yupo kwenye kikundi cha futuhi vile😂😂😂😂😂
Kaibuka mwingine anasema kuanzia January 2024 marufuku kuuza ama kununua ardhi ambayo haijapimwa. Ngoja tuone
 
Back
Top Bottom