Kwa upande wangu hawa ndo wanachama bora kwa mwaka mwaka 2024

Hapo wewe unatumia ID ipi ukiacha hii uliyotumia kupost?
 
List bila mzabzab ni fake.
 
List bila mzabzab ni fake.
 
Kuna yule dada alikua anagawa vocha Bantu Lady nafikiri. Muweke hapo.

Natoa agizo kwa mods Cookie na wenzako huyo dada apewe u-Platnumz Member, Maxence Melo akiwauliza vipi mbona hajalipia mwambieni nalipa mimi.
Nyie ahsante kwa upendo huu Mkuu magnifico πŸ™πŸ™πŸ™ Barikiwa sana. Mwaka 2025 ukawe mwaka wa Baraka kwako, nakuombea usipungukiwe. Happy New Year 2025.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…