MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Mtangazaji Mwakapotela Magic FM
"Hata kama kuna Ndege ya moja kwa moja kwenda Marekani lakini haziruhusiwi mpaka Kwanza zitue Amsterdam wazipeleleze ndiyo ziruhusiwe sasa Kuruka kwenda huko"
Mtangazaji Mkambala Magic FM
"Siyo lazima hizi Ndege ambazo Serikali inazinunua nawe au kila Mtu apande kwani hata Kitendo chako tu cha Kulipa Kodi na hizo Kodi kutumika Kuzinunua tayari na Wewe Mtanzania jua umeshapanda na si lazima iwe umeipanda"
Na huu Upuuzi wao Wote waliutapika leo Asubuhi katika Kipindi chao cha Morning Magic na nashukuru hata Mr. Google Kibwana Dachi ( ambaye Mightier simshauri aendelee kuwa nao kwani wanamharibia tu ) nae pia alishtuka na Kuwashangaa sana japo akaamua Kukausha tu.
Nimeshajua kwanini Fani ya Uandishi wa Habari kwa sasa inadharaulika mno nchini Tanzania hadi wengine ( kama akina Haji Manara ) walishawaita Takataka na Hayati Rais Mstaafu Mkapa alishawaita Wapumbavu.