William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Waache waendelee tu kujenga majungu huku watani wanajenga timu. Madhaifu ya yanga yanatibika na Siku wakisimama Africa watahodhi vitu vingi sana.
Uongozi wa kutafutana na Akina Chama, Phiri na Okra. Wa kijinga sana. Wachezaji sio gari kwamba utaliuza utanunua lingine zuri.
Uongozi utafukuza wote Inaotaka kufukuza kuanzia Enocck Inonga, Chama, Kapombe, Okra, Phiri na kila wanae mtaka eti wanahujumu timu
Ata akija nani hawezi kucheza kwa fitina Zilizopo.
Wakati mwingine sio rahisi kihivyo kumpoteza mtu aliyebarikiwa kwa tamaa binafsi.