William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Makolo hayoWaache waendelee tu kujenga majungu huku watani wanajenga timu. Madhaifu ya yanga yanatibika na Siku wakisimama Africa watahodhi vitu vingi sana.
Uongozi wa kutafutana na Akina Chama, Phiri na Okra. Wa kijinga sana. Wachezaji sio gari kwamba utaliuza utanunua lingine zuri.
Uongozi utafukuza wote Inaotaka kufukuza kuanzia Enocck Inonga, Chama, Kapombe, Okra, Phiri na kila wanae mtaka eti wanahujumu timu
Ata akija nani hawezi kucheza kwa fitina Zilizopo.
Wakati mwingine sio rahisi kihivyo kumpoteza mtu aliyebarikiwa kwa tamaa binafsi.
Jaribu Tena hana tatizo?Hatumtaku Mangungu
Huyu kumtoa ni ngumu maana yuko na tajiriJaribu Tena hana tatizo?
Nlipata hlo wazo sema nliangalia joined yake 🤔Naona umeamua kutuma picha Yako mkuu
Tarehe ya kujiunga haina uhusiano wa Moja kwa Moja na umri. Yawezekana akawa ni yeye, why abashiri picha ya mtu asiyemjua?Nlipata hlo wazo sema nliangalia joined yake 🤔
Mkuu karibu kiporo Cha pilau 😄
Yawezekana Kuna dots aliconnects kutoka kwenye platform zingine akahis yaweza kua ni huyuTarehe ya kujiunga haina uhusiano wa Moja kwa Moja na umri. Yawezekana akawa ni yeye, why abashiri picha ya mtu asiyemjua?
Labda.....japo nayo kisheria za jf haijakaa poaYawezekana Kuna dots aliconnects kutoka kwenye platform zingine akahis yaweza kua ni huyu
Simba wachezaji wenye umri 30+ n watano tuTatizo la vilabu hivi vya Tanzania ni unafiki na kutokupenda ukweli, nani asiyefahamu kwamba Simba wachezaji wengi ni wazee.
Kwenye first XI wachezaji 10 unakuta wako zaidi ya miaka 30 na 6 wako zaidi ya miaka 35 hii lazima itaathiri uwezo wa timu kiujumla.
Clubs have no youth programs that if were there could have helped them to tap talents that if blended with experience could have brought them spectacular results at relatively low cost, but alas, clubs prefer to spend a lot of money to buy the ageing foreign players most of whose level of football is below the average Tanzanian footballers.
Unless clubs device a proper policy aimed at setting up the soccer academies that will be used as nurseries for feeding the clubs, the clubs will continue to waste their hard earned money on hiring mediocre foreign players who won't help them realize their dreams.
Kwani si tulikubaliana kwa kauli moja ya kwamba Chama ni mdogo kuliko timu! Mbona kama tumeanza kugeukana tena!!Waache waendelee tu kujenga majungu huku watani wanajenga timu. Madhaifu ya yanga yanatibika na Siku wakisimama Africa watahodhi vitu vingi sana.
Uongozi wa kutafutana na Akina Chama, Phiri na Okra. Wa kijinga sana. Wachezaji sio gari kwamba utaliuza utanunua lingine zuri.
Uongozi utafukuza wote Inaotaka kufukuza kuanzia Enocck Inonga, Chama, Kapombe, Okra, Phiri na kila wanae mtaka eti wanahujumu timu
Ata akija nani hawezi kucheza kwa fitina Zilizopo.
Wakati mwingine sio rahisi kihivyo kumpoteza mtu aliyebarikiwa kwa tamaa binafsi.
Anachokitaka hapo ni Mangungu tu kuwaachia timu yao. Hakuna kingine.Baada ya malalamiko unapendekeza kipi kifanyike ili kuweka mambo sawa?
Ukweli ni kwamba, wachezaji wengi hawasemi umri wao kamili na wengi hudanganya sana kwa kupunguza umri na hata ukiwaangalia kwa muonekano tu usoni utathibitisha hili.Simba wachezaji wenye umri 30+ n watano tu
Saido,(36),Boco,(34),Shomari,(31),Chama,(32), Phiri,(30). Kati ya hao ambao huwa wanaanza ni III tu katika XI, waliobaki VIII wote n vijana. Hivo huna sababu za kusema Simba Ina wachezaji wazee. Matatizo ya Simba n mengi lakini yote yanaweza kurekebishwa kama Uongozi utakuwa dhabiti.
1. Posho, Posho Posho n tatzo kubwa sana pale Simba
2.MO Yuko juu ya sheria pale Simba SC, hamna Uwazi anajaza matangazo anavyotaka.
Nk