Kwa Usajili huu mzuri na Kabambe kabisa unaofanywa na Yanga SC sasa, bila shaka Makocha wao wapya kutoka nchini Hispania ni hawa wafuatao

Kama Waziri aliweza kufunga goli 13 kwa timu iliyoshuka daraja, atashindwa vp kufunga zaidi ya hizo kwa timu iliyoshika nafasi ya pili?
Binafsi kama mshabiki wa Yanga, mpaka sasa naona mchezaji aliyesajiliwa na kujitosheleza kila idara, ni Bakary 'Nondo' Mwamnyeto tu.

Kwa upande wa hao wengine naona ni wachezaji wa kawaida sana. Sijui lakini, ila kuna umuhimu kwa viongozi wa timu kufanya usajili kwa umakini. Yaani Waziri Junior ndiyo atubebe msimo ujao kwenye ukame wa mabao uliotukumba msimu huu!!!

Atanisamehe tu, ila simuamini hata kidogo.
 
Mkuu utakua ufuatilii ligi yetu kwa umakini,wachezaji waliosajiliwa mpaka sasa mbona ni wachezaji wazuri mno
 
Back
Top Bottom