Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Miaka 20 iliyopita Rais mkapa alifungua mlango kwa waekezaji wa madini kule kanda ya ziwa ila kwa masikitiko makubwa mpaka leo kuna umaskini wa kutisha wakazi wa kule hawaoni faida ya madini na yale makampuni- utakua upunguani kuwapa makampuni ya kigeni gesi yetu eti hatuwezi na tutakuwa tumekubali kuwa maskini kwa miaka mingi sana ijayo- gesi ni yetu na tuichimbe wenyewe
Hakuna sehemu hata moja afrika imeendelea kwa kuyapa haya makampuni ya kigeni kuchimba mafuta au gesi angalia Nigeria, Angola, Gabon na equatorial guinea japokua hizi nchi zina-utajiri wa mafuta ila wananchi wake wana-umaskini wa kutisha
Hata uganda kosa walilofanya ni kuwapa kampuni ya kigeni kuchimba mafuta yake lile ni kosa kubwa sana
Nchi za gulf sababu kubwa sana ya kuendelea ni kuhakikisha makampuni ya mafufa na gesi ni ya kwao na sio ya kigeni-hao wageni ni waajiriwa tu
Tanzania tuna-gesi asilia kusini mwa pwani ya kisiwa cha mafia, mimi nachopinga ni kumpa mwekezaji kwa mda miaka 20 au 30 alafu ndo akabidhi kwetu hili swala nalipinga sana kwa nguvu zote
Mimi naamini kama nchi ni lazima kuwekeza kwenye drilling ya natural gas na ecosystems yeyote ikawa chini ya nchi lengo ni nchi kunufaika nayo na sio kumpa mwekezaji
ONSHORE DRILLING AND ITS ECOSYSTEM
Hii sio gharama sana kama offshore drilling, hata sahivi gesi ambayo inachimbwa hapa Tanzania ni ambayo ipo huku nchi kavu ila iliyopo baharini ndo iko nyingi na bado hatujaanza kuichimba- ukiwa na mtaji wa usd million 200 (almost tsh billion 450+) basi unaanzisha mradi mkubwa tu wa onshore gas drilling ambao kama nchi hatujitaji mwekezaji point ni kwamba hii faida tunatakiwa tuipate sisi direct na sio kushare na kampuni flani ya kigeni
kuanzia usd billion 1 tunaweza jenga midsized LNG project ýa offshore drilling and its ecosystem, ila kwa usd billion 4 ambayo kama nchi tunaimudu tunaweza tengeneza natural gas project kubwa na ambayo itakuwa na faida kubwa kumbuka LNG project inapokuwa kubwa inakuwa na faida zaidi
Ecosystem ni kama ifuatayo;-
Kwa siku matumizi ya hii ecosystem ambayo asilimia kubwa ni kuchimba gesi asilia kutoka chini mwa bahari gharama yake ni usd 1 million (kama sh billion 2 kwa kila siku inaweza ikawa juu au chini )
Kwa hiyo ecosystems ya drilling inatakiwa iwe chini yetu kama nchi na mashine za kuzalishia umeme ziwe chini ya nchi kama kweli tunania ya kuiondoa nchi hii kwenye umaskini na wawekezaji watafanya mambo yafuatayo;-

- Pump jack ni mashine maarufu sana inayotumika kwenye kuchimba gesi au crude oil nchi kavu a.k.a onshore drilling
- Ecosystem ya pump jack ni kama ifuatayo;- pump jack moja ni usd 4000 mpaka 20,000 (kama tsh million 8 na million 50)- unaweza ukawa na pump jack hata mia kulingana na reserve ambayo unayo na utaziunganisha na pipeline, tank kwa ajili ya kuhifadhi na gas liquefaction plant ambayo inaondoa impurities kwenye gesi iliyochimbwa kwa kupuza uzito, na tayari kwa kusafirishwa kwa matumizi ya viwandani, kwenye magari na kuzalisha umeme
kuanzia usd billion 1 tunaweza jenga midsized LNG project ýa offshore drilling and its ecosystem, ila kwa usd billion 4 ambayo kama nchi tunaimudu tunaweza tengeneza natural gas project kubwa na ambayo itakuwa na faida kubwa kumbuka LNG project inapokuwa kubwa inakuwa na faida zaidi
Ecosystem ni kama ifuatayo;-
- Floating Production Storage and Offloading (FPSO) units- hii ni meli kubwa ambayo unatumika hasa kwenye offshore drilling, natural gas inayochimbwa kabla haijaja ardhini unapitia kwenye hii meli kabla ya kupakizwa kwenye shuttle tankers au pipeline mpaka ardhini- kwenye point namba 2 meli nyekundu ndo inaitwa Floating Production Storage and Offloading (FPSO) Units
- SPAR PLATFORM- hii ndo moyo wa offshore vitu vyote vinakuwa control kuanzia hapa
- Subsea Umbilicals- hizi ni Cables ambazo zinawezesha nguvu ya umeme, signal na chemicals kwenye vifaa vilivyopo chini ya bahari
- Risers and Flowlines (SURF)
- Subsea production system- hivi ni vifaa ambavyo vinanyonya gesi ardhini mwa bahari
- A gas liquefaction plant- hii inqondoa impurities na inaifanya gesi asilia iliyochimbwa kupoa kwa nyuzi joto -162°C ili iwe rahisi kusafirishwa kwa umbali mrefu
Kwa siku matumizi ya hii ecosystem ambayo asilimia kubwa ni kuchimba gesi asilia kutoka chini mwa bahari gharama yake ni usd 1 million (kama sh billion 2 kwa kila siku inaweza ikawa juu au chini )
Kwa hiyo ecosystems ya drilling inatakiwa iwe chini yetu kama nchi na mashine za kuzalishia umeme ziwe chini ya nchi kama kweli tunania ya kuiondoa nchi hii kwenye umaskini na wawekezaji watafanya mambo yafuatayo;-
- Wajenge refinery
- Wajenge smelter
- Wajenge viwanda vya magari