Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Sasa viongozi na familia zao watapata wapi chakula na wawekezaji wazawa.Tanzania tuna-gesi asilia kusini mwa pwani ya kisiwa cha mafia, mimi nachopinga ni kumpa mwekezaji kwa mda miaka 20 au 30 alafu ndo akabidhi kwetu hili swala nalipinga sana kwa nguvu zote
Mimi naamini kama nchi ni lazima kuwekeza kwenye drilling ya natural gas na ecosystems yeyote ikawa chini ya nchi lengo ni nchi kunufaika nayo na sio kumpa mwekezaji
Onshore drilling sio gharama sana kama offshore drilling, hata sahivi gesi ambayo inachimbwa hapa Tanzania ni ambayo ipo huku nchi kavu ila iliyopo baharini ndo iko nyingi na bado hatujaanza kuichimba
kuanzia usd billion 1 tunaweza jenga midsized LNG project, ila kwa usd billion 4 ambayo kama nchi tunaimudu tunaweza tengeneza natural gas project kubwa na ambayo itakuwa na faida kubwa kumbuka LNG project inapokuwa kubwa inakuwa na faida zaidi
Ecosystem ni kama ifuatayo;-
View attachment 3485567
- Floating Production Storage and Offloading (FPSO) units- hii ni meli kubwa ambayo unatumika hasa kwenye offshore drilling, natural gas inayochimbwa kabla haijaja ardhini unapitia kwenye hii meli kabla ya kupakizwa kwenye shuttle tankers au pipeline mpaka ardhini
- SPAR PLATFORM- hii ndo moyo wa offshore vitu vyote vinakuwa control kuanzia hapa View attachment 3485568
- Subsea Umbilicals- hizi ni Cables ambazo zinawezesha nguvu ya umeme, signal na chemicals kwenye vifaa vilivyopo chini ya bahari
- Risers and Flowlines (SURF)
- Subsea production system- hivi ni vifaa ambavyo vinanyonya gesi ardhini mwa bahari
- A gas liquefaction plant- hii inqondoa impurities na inaifanya gesi asilia iliyochimbwa kupoa kwa nyuzi joto -162°C ili iwe rahisi kusafirishwa kwa umbali mrefu
Kwa siku matumizi ya hii ecosystem ambayo asilimia kubwa ni kuchimba gesi asilia kutoka chini mwa bahari gharama yake ni usd 1 million (kama Trillion 2 kwa kila siku inaweza ikawa juu au chini )
Kwa hiyo ecosystems ya drilling inatakiwa iwe chini yetu kama nchi na wawekezaji watafanya mambo yafuatayo
KAMA NCHI HII TUNAIWEZA KABISA
- Wajenge refinery
- Watumie umeme unaozalishwa na gesi asilia
- Wajenge petrochemical plant
Bro unaweza kuwa na point sana ila kumbuka hii ni Tanzania ambayo;Tanzania tuna-gesi asilia kusini mwa pwani ya kisiwa cha mafia, mimi nachopinga ni kumpa mwekezaji kwa mda miaka 20 au 30 alafu ndo akabidhi kwetu hili swala nalipinga sana kwa nguvu zote
Mimi naamini kama nchi ni lazima kuwekeza kwenye drilling ya natural gas na ecosystems yeyote ikawa chini ya nchi lengo ni nchi kunufaika nayo na sio kumpa mwekezaji
Onshore drilling sio gharama sana kama offshore drilling, hata sahivi gesi ambayo inachimbwa hapa Tanzania ni ambayo ipo huku nchi kavu ila iliyopo baharini ndo iko nyingi na bado hatujaanza kuichimba
kuanzia usd billion 1 tunaweza jenga midsized LNG project, ila kwa usd billion 4 ambayo kama nchi tunaimudu tunaweza tengeneza natural gas project kubwa na ambayo itakuwa na faida kubwa kumbuka LNG project inapokuwa kubwa inakuwa na faida zaidi
Ecosystem ni kama ifuatayo;-
View attachment 3485567
- Floating Production Storage and Offloading (FPSO) units- hii ni meli kubwa ambayo unatumika hasa kwenye offshore drilling, natural gas inayochimbwa kabla haijaja ardhini unapitia kwenye hii meli kabla ya kupakizwa kwenye shuttle tankers au pipeline mpaka ardhini
- SPAR PLATFORM- hii ndo moyo wa offshore vitu vyote vinakuwa control kuanzia hapa View attachment 3485568
- Subsea Umbilicals- hizi ni Cables ambazo zinawezesha nguvu ya umeme, signal na chemicals kwenye vifaa vilivyopo chini ya bahari
- Risers and Flowlines (SURF)
- Subsea production system- hivi ni vifaa ambavyo vinanyonya gesi ardhini mwa bahari
- A gas liquefaction plant- hii inqondoa impurities na inaifanya gesi asilia iliyochimbwa kupoa kwa nyuzi joto -162°C ili iwe rahisi kusafirishwa kwa umbali mrefu
Kwa siku matumizi ya hii ecosystem ambayo asilimia kubwa ni kuchimba gesi asilia kutoka chini mwa bahari gharama yake ni usd 1 million (kama Trillion 2 kwa kila siku inaweza ikawa juu au chini )
Kwa hiyo ecosystems ya drilling inatakiwa iwe chini yetu kama nchi na wawekezaji watafanya mambo yafuatayo
KAMA NCHI HII TUNAIWEZA KABISA
- Wajenge refinery
- Watumie umeme unaozalishwa na gesi asilia
- Wajenge petrochemical plant
Tutajitahidi waeleweBro unaweza kuwa na point sana ila kumbuka hii ni Tanzania ambayo;
1.Mradi wa mwendokasi unafeli ilhali wateja wapo kila siku,serikali imeshindwa kuyahudumia mabasi tu, hadi watu wakaleta vurugu ndio hatua ikachukuliwa.
2.Tumeshindwa kuendesha bandari, (baada ya uwekezaji mkubwa wa JPM), kapewa "mwarabu"
3.Madini ya Tanzanite yanachimbwa Mererani pekee lakini Tz ni mzalishaji wa tatu nyuma ya India na Kenya.
Sasa hili la gesi asilia ni complex issue sana kwa aina ya uongozi fulionao!
Lakin sio sawa hata kidogo kurudia kosa la kule kanda ya ziwaTujitahidi kwanza hivi vidogo tuviweze mkuu, upo na hoja sana kwamba kama taifa tunatakiwa kufikiri mbali, lakini kama hivi vidogo tu vimetushinda, hizo mega projects tutawezaje kuziendesha?
1. Mradi wa mwendokasi tu umekuwa changamoto kubwa, serikali kupitia vyombo vyake imeshindwa kabisa kuendesha mradi.
2. Miradi ya maji kwenye majiji inekuwa shida, yaani maji ambayo Mungu katupa almost nchi nzima, serikali insmashindwa kusimamia.
3. Tanesco, kusambaza na kutoa umeme imekuwa shida.
Watu wanaanza na projects ndogo, then wanaenda mbele taratibu. Sisi bado...hatuna utashi!
Mimi naamini uelewa wa gesi kwa viongozi wetu bado ni mdogo kama umgekuwa ni mkubwa nakubakikishia tungewekeza kwenye gesiUmeonesha jambo la maana sana
Japo kuna studies zilikwishafanyika kuhusu huo mradi, lakini naona wenye maamuzi hawajaamua bado
Tumeamua kukomaa na Umeme wa Maji
Inawezekana vizuri tuYah tunaanza na uwekezaji mdogo mdogo kadri faida inavyo patikana ndio tunakuza mradi unakuwa mkubwa zaidi.
CCM tokea ya mwalimu Nyerere walikuwa waoga/ walishindwa kuwawezesha wazawa kuanza na miradi midogo mpaka kuja kumiliki miradi mikubwa.
Na waliofuatiwa nao wakawa ni wabinafsi hawakutaka wa tz wanufaike, .
Inatia matumaini kuona kuna wa TZ wenye Nia na mawazo ya kuiwezesha nchi Yao kumiliki uchumi na rasilimali kwa wazawa
Kwa ukataji huu wa mauno wataelewa kweli?Tutajitahidi waelewe
Unadhani hawajapewa report za economic & financial analysis za huo mradi?Mimi naamini uelewa wa gesi kwa viongozi wetu bado ni mdogo kama umgekuwa ni mkubwa nakubakikishia tungewekeza kwenye gesi
Swala sio kupewa hawaoni faida zake kama unajua faida ya jambo utalipigania-Unadhani hawajapewa report za economic & financial analysis za huo mradi?
Ni vile Viongozi wetu hawana vipaumbele vya kukwamua Wananchi wao Kiuchumi na kuifanya Nchi ipige hatua kimaendeleo
Nina imani hata ule Mradi wa bwawa la Umeme la Mwalimu Nyerere, isingekuwa ujasiri wa JPM huenda usingefanyika
Bado nafasi ipoMkuu una mawazo makubwa angalau unamawazo chanya, sisi wengine tulishaikatia tamaa tunaona tu bora liende