Ndugu wana jamiiforum natumaini mmekuwa mnafuatilia ushahidi wa Mh. Heche. Yaani nimetokea kuwaogopa sana CCM. Na kujiuliza maswali mengi, kama kweli ni binadamu kamili au unapokuwa CCM unageuka na kuwa katili kiasi hicho.
Ukatili wa CCM hata akina Charles Taylor hawakufikia kiwango hicho.
Sasa naweza kuconclude kuwa hakuna serikali kuna majangili na madrug cartels ndo wanaoongoza nchi
ni wazi,Ndugu wana jamiiforum natumaini mmekuwa mnafuatilia ushahidi wa Mh. Heche. Yaani nimetokea kuwaogopa sana CCM. Na kujiuliza maswali mengi, kama kweli ni binadamu kamili au unapokuwa CCM unageuka na kuwa katili kiasi hicho.
Ukatili wa CCM hata akina Charles Taylor hawakufikia kiwango hicho.
Sasa naweza kuconclude kuwa hakuna serikali kuna majangili na madrug cartels ndo wanaoongoza nchi
Yaani nasoma ushahidi wake mara mbili mbili hadi natapa goose pimples. Ndo maana kamwe hawatakubali katiba mpya harafu waondoke madarakani. Uovu wao is too much. Bila nguvu na msaada kutoka nje sioni kama kutapatikana katiba mpya.Jamaa anaongea aisee
Gentleman, raia wamechafukwa sana, very unfortunate, they are afraid of nothing, not even death. Sasa angalia nisijepoteza swahiba hapa jukwaani gentleman.ni wazi,
heche anakwenda kumkaanga na mumsagia kunguni mwenyekiti wake zaidi hata ya amani na brenda,
ambao kwakweli wamefanya kazi kubwa na nzuri sana ya kumsindikiza chairman wao kitanzini
***** pigwa miti halina nafasi kujadili mambo ya wanaume, ***** linatakiwa kwenda kupigwa miti na kumfariji msagaji anayeomboleza kifo.ni wazi,
heche anakwenda kumkaanga na mumsagia kunguni mwenyekiti wake zaidi hata ya amani na brenda,
ambao kwakweli wamefanya kazi kubwa na nzuri sana ya kumsindikiza chairman wao kitanzini
mkuu naomba linkYaani nasoma ushahidi wake mara mbili mbili hadi natapa goose pimples. Ndo maana kamwe hawatakubali katiba mpya harafu waondoke madarakani. Uovu wao is too much. Bila nguvu na msaada kutoka nje sioni kama kutapatikana katiba mpya.
Kuna mambo mawili, naam, yapo matatu yatakayotokea. Nahifadhi maneno kwanza kwa sasa.Yaani nasoma ushahidi wake mara mbili mbili hadi natapa goose pimples. Ndo maana kamwe hawatakubali katiba mpya harafu waondoke madarakani. Uovu wao is too much. Bila nguvu na msaada kutoka nje sioni kama kutapatikana katiba mpya.
Kuna mambo mawili, naam, yapo matatu yatakayotokea. Nahifadhi maneno kwanza kwa sasa.
Ila zingatia maadhimisho ya mwaka mmoja yamekaribia.
Hadi sasa mfumo wa ccm umefanikiwa kuleta mapinduzi kwenye fikra na matendo ya wanachama wake.Ndugu wana jamiiforum natumaini mmekuwa mnafuatilia ushahidi wa Mh. Heche. Yaani nimetokea kuwaogopa sana CCM. Na kujiuliza maswali mengi, kama kweli ni binadamu kamili au unapokuwa CCM unageuka na kuwa katili kiasi hicho.
Ukatili wa CCM hata akina Charles Taylor hawakufikia kiwango hicho.
Sasa naweza kuconclude kuwa hakuna serikali kuna majangili na madrug cartels ndo wanaoongoza nchi
Duh 🙄 ! Kazi kweli Kweli !Hadi sasa mfumo wa ccm umefanikiwa kuleta mapinduzi kwenye fikra na matendo ya wanachama wake.
Kwa sasa kuna mabwanyenye, machawa na walalahoi/hamnazo pangu pakavu tia mchuzi!
CCM sio chama cha Siasa ni Serikali yenye Dola,ikajiita chama cha Siasa!Ndugu wana jamiiforum natumaini mmekuwa mnafuatilia ushahidi wa Mh. Heche. Yaani nimetokea kuwaogopa sana CCM. Na kujiuliza maswali mengi, kama kweli ni binadamu kamili au unapokuwa CCM unageuka na kuwa katili kiasi hicho.
Ukatili wa CCM hata akina Charles Taylor hawakufikia kiwango hicho.
Sasa naweza kuconclude kuwa hakuna serikali kuna majangili na madrug cartels ndo wanaoongoza nchi
Nina kubaliana na wewe 100%, CCM siyo chama cha siasa.CCM sio chama cha Siasa ni Serikali yenye Dola,ikajiita chama cha Siasa!
Kwa kifupi ukifanikiwa kuipindua Serikali ya Tanzania, tayari utakuwa umeipindua CCM
Mkata inya kwani chadema imekukosea Nini haijawahi kula hata Mia tano ya nchi hii maccm ndio yamekwiba KILA kitu wewe chuki hii yanini?ni wazi,
heche anakwenda kumkaanga na mumsagia kunguni mwenyekiti wake zaidi hata ya amani na brenda,
ambao kwakweli wamefanya kazi kubwa na nzuri sana ya kumsindikiza chairman wao kitanzini