Ndugu wana jamiiforum natumaini mmekuwa mnafuatilia ushahidi wa Mh. Heche. Yaani nimetokea kuwaogopa sana CCM. Na kujiuliza maswali mengi, kama kweli ni binadamu kamili au unapokuwa CCM unageuka na kuwa katili kiasi hicho.
Ukatili wa CCM hata akina Charles Taylor hawakufikia kiwango hicho.
Sasa naweza kuconclude kuwa hakuna serikali kuna majangili na madrug cartels ndo wanaoongoza nchi
Ukatili wa CCM hata akina Charles Taylor hawakufikia kiwango hicho.
Sasa naweza kuconclude kuwa hakuna serikali kuna majangili na madrug cartels ndo wanaoongoza nchi
