OC-CID JF-Expert Member Joined Jul 13, 2023 Posts 200 Reaction score 463 Apr 14, 2024 #1 Bayer Leverkusen yatwaa ubingwa. Mashabiki wameingia kusherehekea na wachezaji. Amani imetawala iko shwari. Ingekuwa bongo hiyo simu ya huyo mchezaji sasa hivi ingekuwa wapi?
Bayer Leverkusen yatwaa ubingwa. Mashabiki wameingia kusherehekea na wachezaji. Amani imetawala iko shwari. Ingekuwa bongo hiyo simu ya huyo mchezaji sasa hivi ingekuwa wapi?
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 15,966 Reaction score 26,404 Apr 14, 2024 #2 Ingekuwa chanika kama sio mbande kwa mtumiaji mpya baada ya kuiflash Hiyo tabia wanayo mashabiki wa simba
Ingekuwa chanika kama sio mbande kwa mtumiaji mpya baada ya kuiflash Hiyo tabia wanayo mashabiki wa simba
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 31,913 Reaction score 65,514 Apr 14, 2024 #3 Bayern Leverkusen kachukua ubingwa, Baada ya miaka 120 💪