Kwa ushindi huu wa Simba, Raja hawawezi kupanga kikosi cha pili, hivyo Simba mjipange

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Ushindi huu mkubwa walioupata Simba ni furaha kubwa kwao leo hiii, ila huko Morroco unaweza kuwagharimu.

Sababu moja kubwa ni kuwa, kama Raja walikuwa wanaichukulia poa Simba , sasa watalazimika kubadili mtazamo na kuikabilli Simba kama vile wanasaka point tatu muhimu japo wameshafuzu.

Muda utaongea.
 
Acha wamchezeshe ata Messi, swala ni kufika robo fainali
Screenshot_20230318_210255_Gallery.jpg
 
Ushindi huu mkubwa walioupata Simba ni furaha kubwa kwao leo hiii, ila huko Morroco unaweza kuwagharimu.

Sababu moja kubwa ni kuwa, kama Raja walikuwa wanaichukulia poa Simba , sasa watalazimika k,ubadili mtazamo na kuikabilli Simba kama vile wanasaka point tatu muhimu japo wameshafuzu.

Muda utaongea.
Sisi tutapeleka kikosi cha 2... Wao watajua wenyewe

Sent from my M2010J19SI using JamiiForums mobile app
 
Ushindi huu mkubwa walioupata Simba ni furaha kubwa kwao leo hiii, ila huko Morroco unaweza kuwagharimu.

Sababu moja kubwa ni kuwa, kama Raja walikuwa wanaichukulia poa Simba , sasa watalazimika k,ubadili mtazamo na kuikabilli Simba kama vile wanasaka point tatu muhimu japo wameshafuzu.

Muda utaongea.
Raja wapange full mziki ili kutafuta kipi? Kwa namna yote hata afungwe goli ngapi lazima wao tu wawe kinara wa kundi. Point alizonazo hazifikiwi na yeyote yule
 
Sasa raja hata wakifungwa si bado wanaongoza kundi tu? Eti point 3 muhimu? Umuhimu wake ni upi?
 
Itafahamika muda ukifika. Chamsingi tumefuzu.
 
Ushindi huu mkubwa walioupata Simba ni furaha kubwa kwao leo hiii, ila huko Morroco unaweza kuwagharimu.

Sababu moja kubwa ni kuwa, kama Raja walikuwa wanaichukulia poa Simba , sasa watalazimika kubadili mtazamo na kuikabilli Simba kama vile wanasaka point tatu muhimu japo wameshafuzu.

Muda utaongea.
Mtamaliza nadharia zote leo.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom