Kwa ushindi huu wa Simba, Raja hawawezi kupanga kikosi cha pili, hivyo Simba mjipange

Kwa ushindi huu wa Simba, Raja hawawezi kupanga kikosi cha pili, hivyo Simba mjipange

Huu mda ungekua unahangaika na team yako ya utopoloo, sisi tumeshaenda robo final.
Poleeeeeee sana, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ushindi wa Simba ni mchungu Kwa Yanga kuliko hororya
 
Simba na Raja wote washafuzu,iyo mechi itakua ya maandalizi ya robo uko kuangalia mapungufu na kujazia jazia nyama.
 
Hiyo ni mechi ya kukamilisha tu ratiba....hawawezi kujitesa kiasi hicho.
Ushindi huu mkubwa walioupata Simba ni furaha kubwa kwao leo hiii, ila huko Morroco unaweza kuwagharimu.

Sababu moja kubwa ni kuwa, kama Raja walikuwa wanaichukulia poa Simba , sasa watalazimika kubadili mtazamo na kuikabilli Simba kama vile wanasaka point tatu muhimu japo wameshafuzu.

Muda utaongea.
 
Umechanganyikiwa wewe,kwanza sisi simba hiyo mechi tunaenda kufanya mazoezi tu.!! Pambana na tumu lako kesho linacheza
 
Back
Top Bottom