Kwa utabiri wa NYOTA wasiliana na miye Mzee MTAMBUZI...!

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Posts
8,809
Reaction score
15,443
Hii ni Karama ambayo nimebarikiwa na mwenyezi mwenyewe, Hivyo kwa wale wanaotaka kujua nyota zao za bahati na mambo mengine ya utabiri wasisite kuwasiliana na mimi.

Gharama zangu ni nafuu kabisa..... LOL

Angalizo: Mimi ninasaidia watu lakini siyo mganga wa maruhani.
 
Babu mie si utanitabiria bure bila ya kunitoza hela? Au hakuna udugu mbele ya kazi lol...
Ninatoza hela kidogo tu ya kununulia udi na ubani, si unajua majini chakula chao ni udi na ubani...!
 
Mimi nyota yangu napenda makalio makubwa!!what about you mtambuzi?
 
And who can blame me for being a tapeli?
Mshua ntakuletea wateja kama laki 8.
 
hakika huo niushirikina.kwanza futa neno uislam alafu endeleza mada yako.uislam haujaruhusu utabiri wala aina yoyote ya kumshirikisha mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…