Kwa utabiri wa NYOTA wasiliana na miye Mzee MTAMBUZI...!

Kwa utabiri wa NYOTA wasiliana na miye Mzee MTAMBUZI...!

Last edited by a moderator:
Sh'kamoo Mzee Mtambuzi...

Hebu nitabirie ni nani kamuweka kwenye kyupa my hezbend C6 yaan hakamatiki hata kidogo.....

Fasta basi natamani kuondoa kifyanyio cha mutu haraka iwezekanavyo!!!!""
 
Last edited by a moderator:
heeeeeee we babu? ya lini haya?
nahisi umekosa mtu wa kukushika sharubu............ngoja.......!!!
 
Last edited by a moderator:
heeee ushakuwa mtabiri wa hali ya hewa
basi tutarajie kubashiriwa mvua ya vipandevipande hapa Tz
na hasa humu jf,
Hii ni Karama ambayo nimebarikiwa na mwenyezi mwenyewe, Hivyo kwa wale wanaotaka kujua nyota zao za bahati na mambo mengine ya utabiri wasisite kuwasiliana na mimi.

Gharama zangu ni nafuu kabisa..... LOL

Angalizo: Mimi ninasaidia watu lakini siyo mganga wa maruhani.
 
hebu nami mtabiri naomba nitabirie msimu ujao nitavuna kweli karanga nying humu jf?

nitabaaribie kama nitaweza kumpiku mama N.......


Hii ni Karama ambayo nimebarikiwa na mwenyezi mwenyewe, Hivyo kwa wale wanaotaka kujua nyota zao za bahati na mambo mengine ya utabiri wasisite kuwasiliana na mimi.

Gharama zangu ni nafuu kabisa..... LOL

Angalizo: Mimi ninasaidia watu lakini siyo mganga wa maruhani.
 
Mtambuzi
ndoto za kummiss miss mtu mara kwa mara tafsri yake ni nini?
cc: Kaizer
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom