hahahahahaha Mtambuzi angalia usije ukafungwa.
Hebu nitabirie ni nani nitamfuma ana mkonyeza my akanana Passion Lady.
Na utabiri ni lini sosoliso atafumaniwa na Paloma.
Pia utabiri ni lini Lady doctor atamuacha Arushaone.

Hii ni Karama ambayo nimebarikiwa na mwenyezi mwenyewe, Hivyo kwa wale wanaotaka kujua nyota zao za bahati na mambo mengine ya utabiri wasisite kuwasiliana na mimi.
Gharama zangu ni nafuu kabisa..... LOL
Angalizo: Mimi ninasaidia watu lakini siyo mganga wa maruhani.

mmmh kuna jambo linaendelea si bure