Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukipata namna ya kununua ebu tupia hapa tafadhari....maana kila siku tunasikia kununua kununua lakin hatuambiwi namna ya kufanya ili wengine pia wanunue.Naomba kufundishwa jinsi ya kununua viewers youtube, kila nikijaribu nashimdwa.
hiyo screenshot nimeiweka ili kumwonesha huyu mkuu[emoji116][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani bora hata usongeonesha
Badoooo badooooo
kwamba data zilizoletwa na mleta post sio za ukweli sasa maelezo uliyo niquote sijayaelewa?Kiba wimbo una miezi 8,unaviews 90,000!dharau gani hii
Anakwambia na yeye ni mtafiti!muziki Una ujumbe[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
wanaoota mapembe ndio ujumbe?
Ngoja nisubiri mwenye kunifundisha, ikibidi nitangaze tenda kabisa.Ukipata namna ya kununua ebu tupia hapa tafadhari....maana kila siku tunasikia kununua kununua lakin hatuambiwi namna ya kufanya ili wengine pia wanunue.
youtube unakufahamu ni wapi??Kiba wimbo una miezi 8,unaviews 90,000!dharau gani hii
Mbona km unataka kumaanisha ray mkali kuliko kibaHata kama ww huioni lkn kiuhalisia ipo tena kbw tu