Kwa utafiti huu: Ni hakika hawa jamaa wa (WCB) wananunua views

Kwa utafiti huu: Ni hakika hawa jamaa wa (WCB) wananunua views

Naomba kufundishwa jinsi ya kununua viewers youtube, kila nikijaribu nashimdwa.
Ukipata namna ya kununua ebu tupia hapa tafadhari....maana kila siku tunasikia kununua kununua lakin hatuambiwi namna ya kufanya ili wengine pia wanunue.
 
Unamfananisha na mti anafanya fan base africa zima na mtu wa kawaida huyu...angalia views za nyimbo zote za daimond thn compare na kiba utajua nani simba....mziki ni zaidi ya sauti...mziki ni burudani
 
Iko hivi.. Diamond anapiga sana shows nje..

Watu kabla ya kwenda Kwenye Show huwa wanaangalia nyimbo

Baada ya kutoka pia huendelea ku search na kuangalia


Idadi ya subscribers Kwenye You Tube Channel matters a lot! Wao huuona wimbo moja Kwa moja pale wanapoingia YouTube au pengine hupata notifications kama wameruhusu


Kuna video suggestions hii inatokana na jinsi ulivoandika heading na category ya wimbo wako... Wengine huwa wana appload tu.. Hapo unakuta wimbo wake upo kwenye Comedy wakati ni music /intertainment

Cha mwisho, ni copy right issues.. Mfano unakuta mtu mwingine ana appload wimbo huo Huo alafu unakuta ana 1k views hiyo haitakiwi... WCB huwa wana Social Media Experts so ukia appload wimbo wao unaweza kuwa blocked hio hufanya wimbo wao mmoja tu kuwa viewed sana.. Angalia hapo juu AJE ya Kiba zipo kama Tatu YouTube


.... Ngoja niishie hapo....


Muandishi ni Mtaalam wa maswala ya mitandao na Data


Anapatikana PM
 
muziki Una ujumbe[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

wanaoota mapembe ndio ujumbe?
 
Ukipata namna ya kununua ebu tupia hapa tafadhari....maana kila siku tunasikia kununua kununua lakin hatuambiwi namna ya kufanya ili wengine pia wanunue.
Ngoja nisubiri mwenye kunifundisha, ikibidi nitangaze tenda kabisa.
 
Mzee wa msanii mkubwa kuzidi Star Boy mbona kapoteana
 
Salome umelinganishwa na wimbo wa Darasa,sasa Aje imetoka wapi? Ushabiki mwingine bhana!!
 
Diamond ni brand...not just some musician ....hata aimbe mabata madogo madogo still bado viewers watakuwa wengi....na tatizo ni pale haters mnaongoza kuingia youtube kuangalia nyimbo ili tu mje mponde....if you hate the guy don't even bother kumfuatilia ....hata akitoa wimbo usihangaike nao....mkifanya hvyo views zitapungua
 
Wanaotamba kwa kolabo msifananishe kiba na mambo ya kishenz
 
Back
Top Bottom