Iko hivi.. Diamond anapiga sana shows nje..
Watu kabla ya kwenda Kwenye Show huwa wanaangalia nyimbo
Baada ya kutoka pia huendelea ku search na kuangalia
Idadi ya subscribers Kwenye You Tube Channel matters a lot! Wao huuona wimbo moja Kwa moja pale wanapoingia YouTube au pengine hupata notifications kama wameruhusu
Kuna video suggestions hii inatokana na jinsi ulivoandika heading na category ya wimbo wako... Wengine huwa wana appload tu.. Hapo unakuta wimbo wake upo kwenye Comedy wakati ni music /intertainment
Cha mwisho, ni copy right issues.. Mfano unakuta mtu mwingine ana appload wimbo huo Huo alafu unakuta ana 1k views hiyo haitakiwi... WCB huwa wana Social Media Experts so ukia appload wimbo wao unaweza kuwa blocked hio hufanya wimbo wao mmoja tu kuwa viewed sana.. Angalia hapo juu AJE ya Kiba zipo kama Tatu YouTube
.... Ngoja niishie hapo....
Muandishi ni Mtaalam wa maswala ya mitandao na Data
Anapatikana PM