Kwa utaratibu wa CCM baada ya samia,2030 huenda mgombea atakuwa Mkristo mkatoliki?

Kwa utaratibu wa CCM baada ya samia,2030 huenda mgombea atakuwa Mkristo mkatoliki?

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Kama jibu ndio January Makamba na wenzakewote wenye imani kama yake itawapasa kusubiri mpaka 2040,Makamba atakuwa mzee wa miaka 65+,

Watoto wa 2000 watakuwa na umri kama alionao yeye kwa sas...,kutakuwa na wanasiasa wapya kabisa wenye confidence na ushawishi kulIko yeye,dalili zimeanza kuonekana,akina Mwasi and alike.

Inaumaa saana
 
Upo saiiii kabisa awe mpole miaka 15 sio mingi sana.!!!!! Lkn ktk umo kunauwezokano kuibuka kina mwana AF wengi na wenye kutajika zaid ya yeye,
 
January Makamba ni mkatoriki- Mwisilamu- Nusu Kagera nusu Tanga 2030 Makamba atakuwa na miaka 56 kama sio 55. Kama sio Lissu 2025 Basi makamba ndio rais wake 2030. Nausishangae akangombea na Lissu 2025. His nchi ina wenyewe sisi tuendelee kunywa mchuzi.
 
Kama jibu ndio January Makamba na wenzakewote wenye imani kama yake itawapasa kusubiri mpaka 2040,Makamba atakuwa mzee wa miaka 65+,

Watoto wa 2000 watakuwa na umri kama alionao yeye kwa sas...,kutakuwa na wanasiasa wenye confidence na ushawishi kulIko yeye,dalili zimeanza kuonekana,akina Mwasi and alike.

Inaumaa saana
Kama anapenda sana urais kama watu wanavyosema abadili dini sasa.
 
Kama jibu ndio January Makamba na wenzakewote wenye imani kama yake itawapasa kusubiri mpaka 2040,Makamba atakuwa mzee wa miaka 65+,

Watoto wa 2000 watakuwa na umri kama alionao yeye kwa sas...,kutakuwa na wanasiasa wapya kabisa wenye confidence na ushawishi kulIko yeye,dalili zimeanza kuonekana,akina Mwasi and alike.

Inaumaa saana
ni utamaduni wetu huo kuwa baada ya rais mwislamu,basi anayefuata atakuwa mkristo na mkatoliki
 
Hivi hii imekaaje mbona sielewi, kwenye nchi ya watu 65M, wenye Imani nyingi hakuna mfano, uongozi wa juu kubaki wa dini mbili kubwa tena kwa mbadilishano unaoweza kutabilika?
 
Hivi hii imekaaje mbona sielewi, kwenye nchi ya watu 65M, wenye Imani nyingi hakuna mfano, uongozi wa juu kubaki wa dini mbili kubwa tena kwa mbadilishano unaoweza kutabilika?
Ndivyo ilivyo utaratibu upo japo haujaandikwa
 
Hivi hii imekaaje mbona sielewi, kwenye nchi ya watu 65M, wenye Imani nyingi hakuna mfano, uongozi wa juu kubaki wa dini mbili kubwa tena kwa mbadilishano unaoweza kutabilika?
Japo sio katiba lakini kwa wakristo lile baraza la walatoliki hujipanga vizuri mno kuhakikisha kuwa mkristo anayechukua nchi awe mkatoliki na hata muislamu ni yule mwenye mafungamano makubwa na wakatoliki,mfano kassim majaliwa mkewe ni mkatoliki
 
Msaada tutani, kwanini awe mkatoliki, na hiyo system wakatoliki wanamaslahi nayo yapi?.
kwanza inafanywa kijanja sana na akili kubwa mno,walisomesha watu wengi na wakawaingiza kwenye siasa wengi mno hivyo ikitokea nafasi yoyote wakatoliki hupata sehemu kubwa hivyo ni rahisi hesabu za yumkini kuwaangukia,kuhusu wanafaidikaje,kumbuka mtoto wao ndio anakuwa kashika nchi
 
2025 lisu anachukua nchi ni mkatoliki pia.
2030 John mnyika anachukua nchi ni mkatoliki pia.
Labda nikupo dokezo Dogo tu. Ktk uchaguzi wa serikali za mitaa kuna maeneo hao chadema wameshindwa hata kusimamisha wasgombe ikimaanisha hakipo kabisa. Acheni kudanganyika na idadi ya wana chadema waliopo mjini.
 
Back
Top Bottom