mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
- Thread starter
- #21
Uko sahihikwanza inafanywa kijanja sana na akili kubwa mno,walisomesha watu wengi na wakawaingiza kwenye siasa wengi mno hivyo ikitokea nafasi yoyote wakatoliki hupata sehemu kubwa hivyo ni rahisi hesabu za yumkini kuwaangukia,kuhusu wanafaidikaje,kumbuka mtoto wao ndio anakuwa kashika nchi