Kwa utaratibu wa CCM baada ya samia,2030 huenda mgombea atakuwa Mkristo mkatoliki?

Uko sahihi
 
Msaada tutani, kwanini awe mkatoliki, na hiyo system wakatoliki wanamaslahi nayo yapi?.
Roman Catholic ni serikali ndogo duniani,wana mashule,hospitali na miradi mingi,wana influence sana nchini,kwao ni bora Rais muislam ataogopa kuwagusagusa maana watu watasema sababu ni muislam,ila akiingia mlokole anaweza kuwatikisa,pili wana ubia na serikali kwenye sektahizo za afya na elimu lazima wajilipe fadhila na wawe na muwakilishi wao kulinda madahi yao kiuchumi.
Kuwagusa RC hujitakii mema
 
Samia ndio kwanza anaanza miaka yake mitano so atamaliza rasmi miaka yake 10 (2035) MUNGU akijalia,urais alionao sasa hauko ndani ya ile miaka yake 10.
 
Ni coincidence tu, msije mkagombanisha watu bure
 
Huko 2030 mbona mbali sana,CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu, pigo lililonyooka, pigo takatifu.
 
Huenda huyo bibi wa Unguja jina lake lisiwe kwenye ballot hiyo October kuna watu humo Lumumba hayajafurahishwa na kilichotokea na miezi 9 ni mingi.
 
Hoja za kipuuzi, hayo makubaliano yalifanyika wapi, we ulihudhuria huo mkutano?
 
Japo sio katiba lakini kwa wakristo lile baraza la walatoliki hujipanga vizuri mno kuhakikisha kuwa mkristo anayechukua nchi awe mkatoliki na hata muislamu ni yule mwenye mafungamano makubwa na wakatoliki,mfano kassim majaliwa mkewe ni mkatoliki
We upumbavu wako hauna mfano, huoni ht haya?
 
Ni kweli
 
Kwani Tume imefungua dirisha la kampeni??

Samia amefanya kikao na Muumba wa mbingu na Nchi??

Acheni kujitafutia laana
 
Mkuu hata ridhiwan kikwete bibi yake aliwai kuwa mkatoliki zamani.
 
awamu ya Samia inaishia 20240
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…