Kwa utaratibu wa CCM baada ya samia,2030 huenda mgombea atakuwa Mkristo mkatoliki?

Chunga kamdomo , hivi upo uchaguzi umefanyika ccm ,? tuanzie hapa
 
Yaani nani kakuambia nchi ya Tanzania 2030 itakuwaje! Kwa mitandao hii na kizazi hiki bado unafikiria dini hizo ni zilipendwa. Imefika wakati Polisi na usalama ndiyo wanaendesha chaguzi ! Je 2030 si itakuwa jeshi kwa mwendo huu. Bila kubadilisha sheria mapigano ni lazima yatatokea. Tumeona Mbowe kashidwa kwasababu gani huko Chadema wananchi wana amka kweli kweli
 
Anayefuata ni Nchimbi
 
Inamuuna Nani sasa
 
Abdul awe anamtazama tu?? Nae anajifua kurithi kiti bi mkubwa wake oohhh 😹
Abdul yuko low profile hakuna hata anayejua sura yake ikoje,labda ubunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…