Kwa Utashi wangu binafsi, baada ya kuona Chuki zinazidi Kwake na Wahusika wamenyamaza namuombea Msamaha Hayati Rais Magufuli kwa Mapungufu yake

Namna pekee ya kutufanya tumsamehe ni kuacha kumsifia kinafiki. Kwa vyovyote vile mtu akileta uzi wa kumpaka mafuta lazima tutamwagika kuzuia upotoshaji wowote.
kama marehem anasifiwa kinafiki basi kuna shida sehemu.

kwa anayesifia,au kwa anayeona unafiki.
 
Magufuli hahitaji msamaha kabisa. Kwanza inatakiwa Mali zake zote zitafutwe zilipo na kurejeshwa Serikalini. Familia yake ifukuzwe nchini waende ugaibuni. Alama yoyote ya Magufuli ifutwe na aondolewe kwenye orodha ya viongozi waliowahi kutawala Tanzania. Papa wa 16 mwaka 1600 kwa uongozi mbovu kwa kanisa aliondolewa kwenye orodha ya mapapa ili kufuta kivuli chake.
 
Nakubaliana na wewe Mkuu. Hili jambo linapaswa kuchukuliwa kwa uzito wa pekee. Na wale watu wasiojulikana waliokuwa wakishirikiana na Jiwe kuwatesa kuwauniza na hata kuwatowesha wengine Duniani, nao wanapaswa kuomba radhi peke yao kwani wao yawezekana bado wako hai.

Wasiwe na hofu kwani ni wazi kuwa walikuwa na utii kwa mwenye Mamlaka.
 

Dah viongozi wajifunze historia kama hizi na ikiwezekana marais wote wa Tanzania walazimishwe kuwa na "washauri wa historia" mbali ya wale tuliozoea kuwasikia wakiteuliwa na rais kufanya kazi Ikulu kama mshauri wa uchumi, mshauri wa siasa n.k
 
Maovu gani wewe ni mtu wa chuki.
Mimi kweli namchukia Mwendazake, Ila sikuzuii wewe kumpenda. Tubakie tu kila mtu ashinde mechi zake.

Kwangu Mwendazake alikuwa mwizi wa mali ya umma, mwongo, mbaguzi wa maendeleo, mkabila, mropokaji, m ambikiaji kesi za uhujumu kwa wakosoaji,muuwaji. Kimsingi Magufuli alikuwa mtoto wa Shetani
 
Umejipa kazi ngumu sana na naamini hutaiweza
 
85% ya watz ni wahanga wa utawala wa huyi dikteta.... Si mkulima, mfanyakazi, mfanyabiashara, mwanafunzi etc wote wameteswa vikali na ile awamu ya mhutu. Waliofurahia maisha ni wana chato tu na wenyewe walilalamika mbele ya samial siku ya mazishi kua hospitali zao hazina dawa huku wakifurahia maendeleo hewa ya vitu....
 
Magufuli inatakiwa afukuliwe apelekwe mahakamani afungwe kifungo cha maisha.Halafu azikwe kwenye shamba la magereza yoyote hapa nchini ili iwe fundisho kwa viongozi vichaa wengine wajao
Kabisaaaa yani🤔🤔
 
wewe mtu huwa ni mwungana sana, ubarikiwe...
 
🤣🤣🤣 Msaidie na kubeba dhambi zake! Lakini kumbuka adhabu yake kwa Muumba bado ipo pale pale!
 
Du!....
Una huruma sana,

Huruma yako isiishie hapo

Mwombee msamaha PAKA🤣🤣🤣 ayemuua PATRIC KAREGEYA South Africa

, na ambaye anatawala kwa mkono wa CHUMA.

Pia anawamaliza wapinzani wake, na ambaye anawabambikia kesi bandia walio kinyume na msimamo wake.😃😃🤨🤨🤨
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…