Kwa Utashi wangu binafsi, baada ya kuona Chuki zinazidi Kwake na Wahusika wamenyamaza namuombea Msamaha Hayati Rais Magufuli kwa Mapungufu yake

Umemaliza?
 
Bwege kweli wewe.
 
Mie kumsamehe bado so mwendelee kuniombea labda nitapata neema ya kusamehe. Si kwamba napenda Ila kila nikifiri kumsamehe naona damu ya binadamu kwenye mchanga. Nyerere mwenyewe ilinichukua miaka kumi kumsamehe. Mie bado sana
 
Mie kumsamehe bado so mwendelee kuniombea labda nitapata neema ya kusamehe. Si kwamba napenda Ila kila nikifiri kumsamehe naona damu ya binadamu kwenye mchanga. Nyerere mwenyewe ilinichukua miaka kumi kumsamehe. Mie bado sana
Ile siku wanakutana viongozi wa dini I think familia yake wangeitumia kuomba msamaha pia just the way Madame President alivyotumia hotuba ya kwanza kuomba msamaha kwa niaba ya mwendazake.

Instead wakamtuma yule bwanyenye akaishia kutoa shukrani tu🤷😏 yani anatushukuru nini?
 
Bwege kweli wewe.
Bwege ni ukoo wako uliyozowea kuishi kwa vitu vya kunyonga, wizi, drug dealer, mkwepa kodi, muombea mabaya viongozi wa nchi, mpiga ramli, na mpinga kristu. Nyumbu wewe nenda kazalie kenya unawashwa washwa wewe
 
Marehemu asemwi vibaya ila jiwe alipokufa watu mioyo yao ilishangilia.

Kufa wote tutakufa ila insue nani anatangulia?

Jiwe kanitesa binafsi ila nishamsamehe muda sana.
Mm sikuile sikulala nilikesha nagonga safari huku natazama luninga. Mpaka leo nikikuta picha yake naichana na kuitupa.
Shetani mkubwa yule magufuli
 
Kwani hayo unayodai kuwa alifanya, aliyafanya kama yeye binafsi au kama Rais wa Tanzania? Urais ni taasisi inayojumuisha timu nzima ya Baraza la Mawaziri na taasisi zote zinazomsaidia Rais kutekeleza majukumu yake. Hivyo yaliyofanyika yaliwahusu wote ambao kimsingi bado wapo madarakani. Mzee Mwinyi alitufundisha dhana ya "Collective Responsibility" ambayo inawajumuisha wote kwenye maamuzi na vitendo vya aliyewateua. Kama hukubaliani na mteuzi wako unapaswa kujiuzulu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…