Kwa utetezi wa Joshua Mollel, soma maelezo mengine hapa chini

Kwa utetezi wa Joshua Mollel, soma maelezo mengine hapa chini

Pumbavu kabisa. Huu ujinga ndio umetoka nao kwenye swala ya alfajiri ya leo msikitini mlivyokuwa mnadanganyana. Bikea 72 ndio zinawatoa Uru hivi? Hakika Muddy alimnyonya ulimi na kuuramba mdomo wa Al Hassan mwana wa Ali kama wafuasi wake ndio wapo hivi.
Nimegundua watanzania wengi mna shida ya reading comprehension

Reading comprehension is the ability to process written text, understand its meaning, and to integrate with what the reader already knows. Reading comprehension relies on two abilities that are connected to each other: word reading and language comprehension.

Au
Ufahamu wa kusoma ni uwezo wa kuchakata maandishi yaliyoandikwa, kuelewa maana yake, na kuunganisha na kile ambacho msomaji tayari anajua. Ufahamu wa kusoma unategemea uwezo ambao umeunganishwa kwa kila mmoja: usomaji wa maneno na ufahamu wa lugha.
 
Umepiga kisungura usiku?
Nimeshamjibu mwenzio. Stop projecting bro. Pombe mnazozipenda nyinyi mnadhani kila mtu anapenda pia?

"Usipopaelewa ni wapi. Siwezi kuanzisha thread tofauti ili kuwasilisha nibachokijua. Nimeanza kumpongeza Nanyaro kwa kuwa spokesperson mzuri wa familia, pili nikaomba watu tuwe na umoja katika hili swala la ndugu yetu kuuawa kwenye nchi ya kigeni ili angalau azikwe kwa heshima, Tatu nikazungumzia picha Tatu nilizoziona akipelekwa Gaza nyuma ya pickup, Nne nikatag Instagram page yake kwa watu waliokuwa wansingizia kuwa ni Askari. Don't mind hio typing error ya Mwisho. Nimefanya flow of information vizuri tu. Mwisho kabisa nilikuwa ninauliza kuwa tungewapata wenzake watueleze ilikuaje. What is not understood hapo exactly? Au tik tok imelamba attention span na uwezo wa kuelewa?"
 
U
You are coping hard bro. Hakuna sehemu niliyoinsinuate kitu kama hicho. You either lack reading comprehension or something else. I can't save you
Mkuu hebu elezea kidogo kuhusu Ezekiel Kitiku
 
I said what I said. Mnataka msambaze ili familia izidi kuumia? Have empathy basi

Huoni uliyoandika pia ni chanzo Cha maumivu au tuite Uongo wa kupunguza taarifa muhimu ili kuonesha unaandika ukweli ?
 
Kiswahili chako kinahitaji update. Jifunze kusoma kwa sauti
Uzi wako Una makosa mengi ya kiuandishi pengine hilo limechangia kuniambukiza mimi kuandika sentesi yenye makosa . Vilevile makosa yakazidi pale uliposhindwa kupangilia maudhui yako vizuri kiasi ambacho kuwawezesha watu kuelewa vizuri mada.
 
Huoni uliyoandika pia ni chanzo Cha maumivu au tuite Uongo wa kupunguza taarifa muhimu ili kuonesha unaandika ukweli ?
We endelea kusema kuwa ni uongo. You're just a JF username
 
Uzi wako Una makosa mengi ya kiuandishi pengine hilo limechangia kuniambukiza mimi kuandika sentesi yenye makosa . Vilevile makosa yakazidi pale uliposhindwa kupangilia maudhui yako vizuri kiasi ambacho kuwawezesha watu kuelewa vizuri mada.
Ntakuajiri uwe editor mkuu wa makala maana naona umebobea kwenye uandishi. Humu JF si kila mtu atakuwa mwandishi, labda nimekuzidi kwenye mengi zaidi. Nilishamwambia jamaa mwingine kuwa nilitaka kuongelea mengi na sikutaka kuanzisha uzi mpya kwa kila point nikaamua kuunganisha kila kitu. Sitakujibu tena, I've already said my peace
 
Mkuu hebu elezea kidogo kuhusu Ezekiel Kitiku
Ezekiel Kitiku ana interview yake hapa

View: https://youtu.be/201-AkxoMbk?si=7pdHv0heHzkU1Mtq

Alizungumza kuhusu mazingira aliyokuwa nayo alipojikuta kwenye shelter za kujikinga na mabomu. Alikuwa anaishi wneo moja na Clemence ila yeye kwa bahati mbaya au nzuri ilikuwa zamu yake kuingia shambani mpaka saa Sita mchana ili mwenzie ampokee zamu. Mabomu yalipoanza kurushwa kutoka Gaza saa 12 asubuhi alienda kujificha kwenye shelter yeye pamoja na wathailand wawili hivi kama sijakosea. Anasema kwamba alikaa kwenye shelter kwa siku Tatu hivi, ndo jeshi likaja kuwatoa. Icheki hio interview mkuu
 
Ntakuajiri uwe editor mkuu wa makala maana naona umebobea kwenye uandishi. Humu JF si kila mtu atakuwa mwandishi, labda nimekuzidi kwenye mengi zaidi. Nilishamwambia jamaa mwingine kuwa nilitaka kuongelea mengi na sikutaka kuanzisha uzi mpya kwa kila point nikaamua kuunganisha kila kitu. Sitakujibu tena, I've already said my peace
Vizuri.
 
Back
Top Bottom