Kwa uteuzi huu wa RC Chalamila kuja Dar es Salaam, Rais Samia kaupiga mwingi

Kwa uteuzi huu wa RC Chalamila kuja Dar es Salaam, Rais Samia kaupiga mwingi

Dsm inahitaji watu kariba ya kina Chalamila. Jiji lilipoa sana hili.

Nina imani kwa ujio wa Chalamila, sasa taarifa za habari zitaanza kufuatiliwa na watu wengi kuliko ilivyokuwa hapo kabla.

Ninachomwomba Chalamila, ni ajitahidi kuwa yeye na kuusema ukweli pasipo kumwogopa yeyote.

Usiogope kuwapa burudani wana Dsm kwa utani wako, maana hata hivyo hicho ndo kitambulisho cha uongozi wako.

Vinginevyo, nakutakia kila la heri unapokwenda kuanza kazi kwa kufanya "negotiations" na Wakinga wa Kariakoo.
Nchi ya wapenda umbea
 
Ninachojifunza ni kwamba, mitandaoni kuna wanafiki na watu wenye I'd nne nne na ndo wanatusumbua kumsgambulia Magufuli!
Kweli Mkuu.
Inavyoonekana wanaomshambulia Hayati JPM ni kakikundi kadogo sana ka watu, ila kenye nguvu nyingi ya fedha..
 
Back
Top Bottom