Kwa utitiri huu wa watu, je, kweli tuna hifadhi hapa Ngorongoro?

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
° Nimekuwa nikijiuliza, Masai wote hawa ni wakazi wa ngorongoro au wamewaita wenzao kutoka Kenya?

° Kwa wingi huu, je tuna urithi wa kujivunia pale ngorongoro?

° Tuweke siasa pembeni, twende na usalama wa urithi Wetu kwanza!

° Je, baada ya miaka 20 tutakuwa na ngorongoro yetu?

-TUTAFAKARI KWA PAMOJA TUAMUE KWA PAMOJA!

content://com.android.chrome.FileProvider/images/screenshot/1724393575048571690834.jpg
 
Afu ujiulize walio hama kipindi kile ilkua ni kweli au siasa mbona wapo wengi sana hapa maana kuhama na mifugo yao ile mingi vile sio rahisi.
 
Mkiisha watoa ngorongoro itabid ku update brochure ya ngorongoro maana na wao ni part ya attraction ns tumetangaza hivyo kwa miaka yote, kwenye cultural tourism Wamaasai wanawakilisha vyema wakiwa hapo.
 
Mi nakubaliana na wewe. Wanasai na wanyama hawawezi kukaa pamoja tukitilia maanani population ya wamasai inaongezeka. Idada ya wamasai Ngorongoro imeingezeka toka 8000 (1959) mpaka 100,000 (1923),First group of Maasai families leave Ngorongoro Game Reserve | Africanews. achilia mbali na ongezeko la mifugo. Hivyo ni wazi kuwa haitawezekana wamasai waendelee kuishi na wanyama hapo porini. Ni rahisi kuwahamisha wamasai ila si rahisi kuwahamisha wanyama.
 
Afu ujiulize walio hama kipindi kile ilkua ni kweli au siasa mbona wapo wengi sana hapa maana kuhama na mifugo yao ile mingi vile sio rahisi
Mr Devil tuweke siasa pembeni, kwa wingi wa masai ndani ya ngorongoro ni tatizo kubwa kwa siku za usoni, tusimame kwenye ukweli bila uchama wala siasa, twende na uhifadhi kwa ajili ya future generation, hakika tumechelewa zoezi hili, bila unafiki nasema ukweli mtupu masai wapunguzwe, idadi yao ibakie ile ya miaka ya 80,nikimaanisha wasizidi watu 10, 000 mbugani.
 
Mi nakubaliana na wewe. Wanasai na wanyama hawawezi kukaa pamoja tukitilia maanani population ya wamasai inaongezeka. Idada ya wamasai Ngorongoro imeingezeka toka 8000 (1959) mpaka 100,000 (1923),First group of Maasai families leave Ngorongoro Game Reserve | Africanews. achilia mbali na ongezeko la mifugo. Hivyo ni wazi kuwa haitawezekana wamasai waendelee kuishi na wanyama hapo porini. Ni rahisi kuwahamisha wamasai ila si rahisi kuwahamisha wanyama.
Akili finyu hizi
 
°Nimekuwa nikijiuliza, masai wote hawa ni wakazi wa ngorongoro au wamewaita wenzao kutoka Kenya?
°Kwa wingi huu, je tuna urithi wa kujivunia pale ngorongoro?
°Tuweke siasa pembeni, twende na usalama wa urithi Wetu kwanza!
°Je baada ya miaka 20 tutakuwa na ngorongoro yetu?
-TUTAFAKARI KWA PAMOJA TUAMUE KWA PAMOJA!
[ ] pic fail.
wamasai walikuwa wakiishi serengeti kabla haijawa hifadhi, wakasogezwa ngorongoro. ni wengi sana
maana wametapakaa eneo lote kuanzia boda ya serengeti hadi kupakana na karatu
wakikubali wote kuhama hiyo handeni haiwatoshi
eneo linaloweza kuwatosha ni mapori yale ya tabora au mpanda. waue ile hifadhi ya katavi wamasai wakaishi kule
 
Waondolewe hao wamasai ila kumpa mwaarabu hifadhi ndio uboya bora wabaki tu wamasai
 
wamasai walikuwa wakiishi serengeti kabla haijawa hifadhi, wakasogezwa ngorongoro. ni wengi sana
maana wametapakaa eneo lote kuanzia boda ya serengeti hadi kupakana na karatu
wakikubali wote kuhama hiyo handeni haiwatoshi
eneo linaloweza kuwatosha ni mapori yale ya tabora au mpanda. waue ile hifadhi ya katavi wamasai wakaishi kule
Wapelekwe lindi mapori ni mengi sana huko.
 
Back
Top Bottom