Kwa utitiri huu wa watu, je, kweli tuna hifadhi hapa Ngorongoro?

Kwa utitiri huu wa watu, je, kweli tuna hifadhi hapa Ngorongoro?

Leta hapa ushahidi wa mwarabu
Mimi naleta huu
Ushahidi wa Mwarabu kufanya nini? Kuuziwa hifadhi au ushahidi upi?

 
Mr Devil tuweke siasa pembeni, kwa wingi wa masai ndani ya ngorongoro ni tatizo kubwa kwa siku za usoni, tusimame kwenye ukweli bila uchama wala siasa, twende na uhifadhi kwa ajili ya future generation, hakika tumechelewa zoezi hili, bila unafiki nasema ukweli mtupu masai wapunguzwe, idadi yao ibakie ile ya miaka ya 80,nikimaanisha wasizidi watu 10, 000 mbugani.
Ila uwepo wa waarabu ni halali.
Kati ya fisi na madai nani bora?
Mi naamini ktk asili si vinginevyo
 
Back
Top Bottom