Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Wanyama wewe wengi kuliko masai, au masai wawe wengi kuliko wanyama? 😀Wamasai wenyewe tu hao unawaita utitiri ni kivutio cha utalii na ni jambo tosha la kujivunia
Tuiache nature iamue sasa tunatoa wamasai tunaleta WaarabuWanyama wewe wengi kuliko masai, au masai wawe wengi kuliko wanyama? 😀
Mr Devil tuweke siasa pembeni, kwa wingi wa masai ndani ya ngorongoro ni tatizo kubwa kwa siku za usoni, tusimame kwenye ukweli bila uchama wala siasa, twende na uhifadhi kwa ajili ya future generation, hakika tumechelewa zoezi hili, bila unafiki nasema ukweli mtupu masai wapunguzwe, idadi yao ibakie ile ya miaka ya 80,nikimaanisha wasizidi watu 10, 000 mbugani.Afu ujiulize walio hama kipindi kile ilkua ni kweli au siasa mbona wapo wengi sana hapa maana kuhama na mifugo yao ile mingi vile sio rahisi
Akili finyu hiziMi nakubaliana na wewe. Wanasai na wanyama hawawezi kukaa pamoja tukitilia maanani population ya wamasai inaongezeka. Idada ya wamasai Ngorongoro imeingezeka toka 8000 (1959) mpaka 100,000 (1923),First group of Maasai families leave Ngorongoro Game Reserve | Africanews. achilia mbali na ongezeko la mifugo. Hivyo ni wazi kuwa haitawezekana wamasai waendelee kuishi na wanyama hapo porini. Ni rahisi kuwahamisha wamasai ila si rahisi kuwahamisha wanyama.
Ni kama Israel ya wayahudi tangu Ibrahim, Isaka na Yakobo.Hio ni ardhi yao toka enzi za mababu zao.
SweetyCandy 🌹😘Crocodiletooth unajielewa kweli.
Dagota
Hardzabe hujawaona kweli,? Ni wamasai wameonekana?? Pekee ?? Unafikirigi au ?? Acha basi bangi wapuuzi kama nyie ndio mnaletaga maafa na aliyekuajiri ubongo wake unashida mahali
wamasai walikuwa wakiishi serengeti kabla haijawa hifadhi, wakasogezwa ngorongoro. ni wengi sana°Nimekuwa nikijiuliza, masai wote hawa ni wakazi wa ngorongoro au wamewaita wenzao kutoka Kenya?
°Kwa wingi huu, je tuna urithi wa kujivunia pale ngorongoro?
°Tuweke siasa pembeni, twende na usalama wa urithi Wetu kwanza!
°Je baada ya miaka 20 tutakuwa na ngorongoro yetu?
-TUTAFAKARI KWA PAMOJA TUAMUE KWA PAMOJA!
[ ] pic fail.
Waondolewe hao wamasai ila kumpa mwaarabu hifadhi ndio uboya bora wabaki tu wamasai°Nimekuwa nikijiuliza, masai wote hawa ni wakazi wa ngorongoro au wamewaita wenzao kutoka Kenya?
°Kwa wingi huu, je tuna urithi wa kujivunia pale ngorongoro?
°Tuweke siasa pembeni, twende na usalama wa urithi Wetu kwanza!
°Je baada ya miaka 20 tutakuwa na ngorongoro yetu?
-TUTAFAKARI KWA PAMOJA TUAMUE KWA PAMOJA!
[ ] pic fail.
Wapelekwe lindi mapori ni mengi sana huko.wamasai walikuwa wakiishi serengeti kabla haijawa hifadhi, wakasogezwa ngorongoro. ni wengi sana
maana wametapakaa eneo lote kuanzia boda ya serengeti hadi kupakana na karatu
wakikubali wote kuhama hiyo handeni haiwatoshi
eneo linaloweza kuwatosha ni mapori yale ya tabora au mpanda. waue ile hifadhi ya katavi wamasai wakaishi kule
ngorongoro wabaki waarabuWapelekwe lindi mapori ni mengi sana huko.