Kwa utulivu na hali ya hewa hii basi playlist ya hizi 30 Slow Rhumba za Fally itawafaa

T
Kuna moja aristore alikua anafungua vinywaj kwenye counter yake akawa anaiplay hiyo nyimbo yaan natafuta jina mpaka nimechoka
Tumia shazam utaipata nikipita Instagram nitajaribu kuangalia hiyo ..
 
Kuna moja aristore alikua anafungua vinywaj kwenye counter yake akawa anaiplay hiyo nyimbo yaan natafuta jina mpaka nimechoka
Ni huo namba 29. Alliance ni wimbo niliyoplay sana pia kwenye list yangu ukiwa sio huo basi hapo labda utume hiyo link DM au hapa kwenye uzi.
 
Back
Top Bottom