View attachment 423759 View attachment 423760 View attachment 423761
Na mtu huyu hawara yake ni m bunifu wa mavaz lakin kaamua tu kuwatia nuksi wenzie kwa kuuchukua alipouchukua msuti wake kwa lengo la kuwaaribia wenzie
View attachment 423759 View attachment 423760 View attachment 423761
Na mtu huyu hawara yake ni m bunifu wa mavaz lakin kaamua tu kuwatia nuksi wenzie kwa kuuchukua alipouchukua msuti wake kwa lengo la kuwaaribia wenzie
Wanataka skin tight kama ya diamondMshakariri kila nguo lazima ziwabane
Kuna neno JK alisema kuhusu sisi watanzania.Mshakariri kila nguo lazima ziwabane
Waja hawabebeki. Waja wazito.waja mna mambo!
Neno ganiKuna neno JK alisema kuhusu sisi watanzania.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Tatizo hiyo suti ni kuwa Ali Kiba alivokuwa kwa fundi Sallam yule meneja wa diamond alikuwa nyuma ya fundi, na inasadikia alilegeza uzi hivo kufanya fundi ashone oversize.
Diamond anategemea kolabo za nigeria tu vinginevyo atatamba hapahapa na u tube bhaaaaasusiseme diamond na ali kiba sema ali kiba ndo si lolote nje ya tanzania,diamind kachukua tuzo nje ya tanzania zaidi ya moja unasema si chochote utakua mpuuziii.........................
Habari yako sallamNa sura lake la kizee
Suti mbayaaaaa bora hata angevaa dera
wabongo kwa kuhamisha magoli hawajambo .. Uwezo umewanyima tuzo wameamua kumtafuta mchawi ..waja mna mambo!
Tuzo za zakuotea zimeisha kwa sasa tuzo wanapewa wale wenye uwezo.. Na bahati mbaya uwezo wa Diomond upo kule insta na pale globalpublishers.Diamond anategemea kolabo za nigeria tu vinginevyo atatamba hapahapa na u tube bhaaaaas