Kwa uvaaji wa suti kama hii, nani atatupa tuzo?

Kwa uvaaji wa suti kama hii, nani atatupa tuzo?

Bora uendelee kuuza online tu hapa sidhani kama utapata wateja
 
Ila kiukweli Tanzania wasanii hawa wote bado wanatakiwa wajikuze na sisi tuwasapoti kwa hilo tazama walivyo tumbuiza kwenye tuzo za mtv mama linganisha na wasanii wengine kama yemi alade,sauti sol etc utaona jukwaani bado kulitawala wanaruka ruka kama wako kwenye shooting wakati watu wanataka waone cha tofauti na kile cha kwenye video ya wimbo,ugunduzi bado hatuna ,tazama yemi alivyoperfom track yake yaani ni tofauti kuanzia beat mpaka uchezaji hicho ndio cha muhimu sana ,ugunduzi na ubunifu kukosha mashabiki
 
akili za wabongo wengi ni sawa na maji taka,,sasa huyu alieleta huu uzi hapa anatofauti gani na shimo la choo,,mnataka tujadili suti?r u serious??
 
usiseme diamond na ali kiba sema ali kiba ndo si lolote nje ya tanzania,diamind kachukua tuzo nje ya tanzania zaidi ya moja unasema si chochote utakua mpuuziii.........................
Mumeo nini mana unauchungu kushinda zari
 
Sasa aliyevaa size mbona naye kakosa!!!! Hakuoga au????

Halafu acha ushamba huoni kola hiyo imekaaje???
 
Tatizo hiyo suti ni kuwa Ali Kiba alivokuwa kwa fundi Sallam yule meneja wa diamond alikuwa nyuma ya fundi, na inasadikia alilegeza uzi hivo kufanya fundi ashone oversize.
hahahahahahahahaaaaaaaa....!!!!
 
Tuacheni unafiki wabongo..!! Tunaongea sana ila hatujui lolote...tunajifanya twajua but we always talk rubbish...wasanii wakichukua tuzo za kimataifa hamuongei...wasipochukua mnaongea...tuzo mnazopiga kelele mwaka jana zilikuja bongo..leo watu kukosa ishakuwa lawama...kwani nchi zingne hakuna wasanii..tukue kiakili na si kimaumbo...
 
Back
Top Bottom