Kwa uvaaji wa suti kama hii, nani atatupa tuzo?

Ila kweli mi shabiki yake no 1 kiba ila kwenye suti kaniangusha
 
Angempa fundi ampunguzie kidogo au alikuwa na haraka?
 
Hahahahhaa hili jungu sehemu [emoji100] [emoji100] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…