kama kichwa cha habari hapo juu, nimekomaa toka mwaka jana nimebahatika kuunda izo kitu na mwote humo wako watu wanapiga kazi, salon ya kiume mwenyewe pia ni fundi kunyoa jioni na wikiend nakaa kupiga kazi, duka ni la mangi tu la kawaida, je no sahihi au niachane na kufundisha nije kusimamia face to face?
Nb kazin sina makosa ya kinidhamu huu mwaka wa 3
hofu yangu ni kupoteza pesa zangu NSSF kuna miezi hajaweka kule katika account ko nikiacha nahisi hataweka kabisa.
Sitaki matusi, wala kejeli naomba tu ushauri