kwa uwekezaji huu nlioufanya, Je niendelee na ajira nilipoajiriwa?

kwa uwekezaji huu nlioufanya, Je niendelee na ajira nilipoajiriwa?

nipo online

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2022
Posts
1,039
Reaction score
2,657
kama kichwa cha habari hapo juu, nimekomaa toka mwaka jana nimebahatika kuunda izo kitu na mwote humo wako watu wanapiga kazi, salon ya kiume mwenyewe pia ni fundi kunyoa jioni na wikiend nakaa kupiga kazi, duka ni la mangi tu la kawaida, je no sahihi au niachane na kufundisha nije kusimamia face to face?
Nb kazin sina makosa ya kinidhamu huu mwaka wa 3

hofu yangu ni kupoteza pesa zangu NSSF kuna miezi hajaweka kule katika account ko nikiacha nahisi hataweka kabisa.

Sitaki matusi, wala kejeli naomba tu ushauri
 
Dili na biashara kama zinafanya vizuri
 
Endelea kuwekeza kwanza..hakikisha biashara moja imefungua biashara nyingine kwa Sasa bado
 
Kusanya hela kwanza, jichimbie na kuhakikisha umejihami vya kutosha kabla kuaga ajira ya uhakika.
Biashara huwa ni complicated, so much dynamics can change in a short time.
 
Back
Top Bottom