Kwa uwekezaji unaofanywa na GSM, ni vigumu sana Simba kutoboa

Soka Ndio Maisha Yangu

Senior Member
Joined
Nov 27, 2024
Posts
110
Reaction score
377
These people are very serious in their planning, wamelivamia soka lenye mashabiki weng wakaingiza products zao na wamefanikiwa.

Ili uweze kufanya vizuri kwenye biashara zako make sure una timu yenye kuleta ushindani na kuwapa furaha watanzania, pia hakikisha mpinzani wako unamdhoofisha.

Yanga wanafanya vzr hivyo GSM biashara zake zinakwenda balaa.

Ss hv amevamia biashara alizokuwa akifanya Mo Dewji, Maji yanafanya vzr sokoni, ss hv ameingiza vinywaji kwa kutumia nembo ya Yanga, Yanga hawawezi tena kupiga kelele kwa sababu shida yao furaha. UKIHOJI kama mzee Magoma utajuta kuzaliwa

Ss hv wanataka kuichukua TFF waweke watu wao wamalize shughuli, wanamtumia Wakili Komba na Angetile, hao wanazi wa Yanga lia lia.

Mo Dewji hawezi toboa, biashara zake zinaenda kukumbana na biashara ya GSM huku azam akifanya vzr, biashara zake zikishuka hatoweza kuidhamin Simba na hapo Yanga atatoboa zaidi ya hapo.

Ss hv mpango unaoendelea ni kuiporomosha Simba had nafasi ya nne na kuipromote Singida na Azam ili Yanga awe bingwa milele, watafanikiwa.

Huu ni ujasusi wa kimichezo, Yanga anaweza kubeba ndoo ya Afrika kwa mipango waliyokuwa kwan ni suala muda tu, hawaiangalii tena ligi ya ndani, hawaoni wa kushindana naye tena, wameweka watu ndani ya Simba wanawapa information zoteeee, niko hapa naongea uongo subirini ngao ya hisani mtawaona watakapoanza kuokota tena vikombe.
 
Kwenye bidhaa za GSM hapo tuache kidogo nipo na G-Boost carton za kutosha kubababake hadi nawaza kumrudishia Agent wao kwa discount ya shillingi 300. nimelalamika kuhusu Maji yao wakanambia niwape sample za kuonja... kwa upande wa food bavarages GSM kapata F
 
Hivi hizo products za gsm anauziaga wapi, nipo mwanza lakini sijawahi kutana na bidhaa ya gsm hata kwa bahati mbaya,kwa upande wa maji huku yanayotamba ni jambo ndo yanafuata hayo mengine, energy ni azam, mo na super komando
 
These people are very serious in their planning, wamelivamia soka lenye mashabiki weng wakaingiza products zao na wamefanikiwa.

Ili uweze kufanya vizuri kwenye biashara zako make sure una timu yenye kuleta ushindani na kuwapa furaha watanzania, pia hakikisha mpinzani wako unamdhoofisha.

Yanga wanafanya vzr hivyo GSM biashara zake zinakwenda balaa.

Ss hv amevamia biashara alizokuwa akifanya Mo Dewji, Maji yanafanya vzr sokoni, ss hv ameingiza vinywaji kwa kutumia nembo ya Yanga, Yanga hawawezi tena kupiga kelele kwa sababu shida yao furaha. UKIHOJI kama mzee Magoma utajuta kuzaliwa

Ss hv wanataka kuichukua TFF waweke watu wao wamalize shughuli, wanamtumia Wakili Komba na Angetile, hao wanazi wa Yanga lia lia.

Mo Dewji hawezi toboa, biashara zake zinaenda kukumbana na biashara ya GSM huku azam akifanya vzr, biashara zake zikishuka hatoweza kuidhamin Simba na hapo Yanga atatoboa zaidi ya hapo.

Ss hv mpango unaoendelea ni kuiporomosha Simba had nafasi ya nne na kuipromote Singida na Azam ili Yanga awe bingwa milele, watafanikiwa.

Huu ni ujasusi wa kimichezo, Yanga anaweza kubeba ndoo ya Afrika kwa mipango waliyokuwa kwan ni suala muda tu, hawaiangalii tena ligi ya ndani, hawaoni wa kushindana naye tena, wameweka watu ndani ya Simba wanawapa information zoteeee, niko hapa naongea uongo subirini ngao ya hisani mtawaona watakapoanza kuokota tena vikombe.
Kuhusu TFF sikuungi mkono
 
Mo, Bakhresa na GSM nani tajiri zaidi?
 
juzi tu hapo mtu anakwambia yanga bingwa,unadhani itakuwaje!!!
 
Mwamba yupo vizuri Bil 87 si kitu kidogo.
 
Kama GSM anaeekeza hawekezi Kwa ajili ya kushindana na Simba ila ana malengo yake kimataifa

Sasa inasikitisha badala na Simba wawekeze Kwa malengo ya kimataifa kumbe wao wanaweza Ili kuifunga Yangu?

Huo ni ujinga
 
Jamaa anazidi tu kupaa! Kutoka kuuza magodoro, sasa anauza mpaka maji! Na wananchi wanayagigida kweli kweli.
 
Back
Top Bottom