Soka Ndio Maisha Yangu
Senior Member
- Nov 27, 2024
- 110
- 377
Amesema ipo MtwaraMirembe ipo wapi vile?
Ngao ya jamii lazima tuwawashe tena.Mnajikutagaaa....msyuuu
Tanzania au Africa?Kwa uwekezaji unaofanywa na GSM, ni vigumu sana Simba kutoboa
Kuhusu TFF sikuungi mkonoThese people are very serious in their planning, wamelivamia soka lenye mashabiki weng wakaingiza products zao na wamefanikiwa.
Ili uweze kufanya vizuri kwenye biashara zako make sure una timu yenye kuleta ushindani na kuwapa furaha watanzania, pia hakikisha mpinzani wako unamdhoofisha.
Yanga wanafanya vzr hivyo GSM biashara zake zinakwenda balaa.
Ss hv amevamia biashara alizokuwa akifanya Mo Dewji, Maji yanafanya vzr sokoni, ss hv ameingiza vinywaji kwa kutumia nembo ya Yanga, Yanga hawawezi tena kupiga kelele kwa sababu shida yao furaha. UKIHOJI kama mzee Magoma utajuta kuzaliwa
Ss hv wanataka kuichukua TFF waweke watu wao wamalize shughuli, wanamtumia Wakili Komba na Angetile, hao wanazi wa Yanga lia lia.
Mo Dewji hawezi toboa, biashara zake zinaenda kukumbana na biashara ya GSM huku azam akifanya vzr, biashara zake zikishuka hatoweza kuidhamin Simba na hapo Yanga atatoboa zaidi ya hapo.
Ss hv mpango unaoendelea ni kuiporomosha Simba had nafasi ya nne na kuipromote Singida na Azam ili Yanga awe bingwa milele, watafanikiwa.
Huu ni ujasusi wa kimichezo, Yanga anaweza kubeba ndoo ya Afrika kwa mipango waliyokuwa kwan ni suala muda tu, hawaiangalii tena ligi ya ndani, hawaoni wa kushindana naye tena, wameweka watu ndani ya Simba wanawapa information zoteeee, niko hapa naongea uongo subirini ngao ya hisani mtawaona watakapoanza kuokota tena vikombe.
Mo, Bakhresa na GSM nani tajiri zaidi?These people are very serious in their planning, wamelivamia soka lenye mashabiki weng wakaingiza products zao na wamefanikiwa.
Ili uweze kufanya vizuri kwenye biashara zako make sure una timu yenye kuleta ushindani na kuwapa furaha watanzania, pia hakikisha mpinzani wako unamdhoofisha.
Yanga wanafanya vzr hivyo GSM biashara zake zinakwenda balaa.
Ss hv amevamia biashara alizokuwa akifanya Mo Dewji, Maji yanafanya vzr sokoni, ss hv ameingiza vinywaji kwa kutumia nembo ya Yanga, Yanga hawawezi tena kupiga kelele kwa sababu shida yao furaha. UKIHOJI kama mzee Magoma utajuta kuzaliwa
Ss hv wanataka kuichukua TFF waweke watu wao wamalize shughuli, wanamtumia Wakili Komba na Angetile, hao wanazi wa Yanga lia lia.
Mo Dewji hawezi toboa, biashara zake zinaenda kukumbana na biashara ya GSM huku azam akifanya vzr, biashara zake zikishuka hatoweza kuidhamin Simba na hapo Yanga atatoboa zaidi ya hapo.
Ss hv mpango unaoendelea ni kuiporomosha Simba had nafasi ya nne na kuipromote Singida na Azam ili Yanga awe bingwa milele, watafanikiwa.
Huu ni ujasusi wa kimichezo, Yanga anaweza kubeba ndoo ya Afrika kwa mipango waliyokuwa kwan ni suala muda tu, hawaiangalii tena ligi ya ndani, hawaoni wa kushindana naye tena, wameweka watu ndani ya Simba wanawapa information zoteeee, niko hapa naongea uongo subirini ngao ya hisani mtawaona watakapoanza kuokota tena vikombe.
Nani bahiri zaidiMo, Bakhresa na GSM nani tajiri zaidi?
juzi tu hapo mtu anakwambia yanga bingwa,unadhani itakuwaje!!!These people are very serious in their planning, wamelivamia soka lenye mashabiki weng wakaingiza products zao na wamefanikiwa.
Ili uweze kufanya vizuri kwenye biashara zako make sure una timu yenye kuleta ushindani na kuwapa furaha watanzania, pia hakikisha mpinzani wako unamdhoofisha.
Yanga wanafanya vzr hivyo GSM biashara zake zinakwenda balaa.
Ss hv amevamia biashara alizokuwa akifanya Mo Dewji, Maji yanafanya vzr sokoni, ss hv ameingiza vinywaji kwa kutumia nembo ya Yanga, Yanga hawawezi tena kupiga kelele kwa sababu shida yao furaha. UKIHOJI kama mzee Magoma utajuta kuzaliwa
Ss hv wanataka kuichukua TFF waweke watu wao wamalize shughuli, wanamtumia Wakili Komba na Angetile, hao wanazi wa Yanga lia lia.
Mo Dewji hawezi toboa, biashara zake zinaenda kukumbana na biashara ya GSM huku azam akifanya vzr, biashara zake zikishuka hatoweza kuidhamin Simba na hapo Yanga atatoboa zaidi ya hapo.
Ss hv mpango unaoendelea ni kuiporomosha Simba had nafasi ya nne na kuipromote Singida na Azam ili Yanga awe bingwa milele, watafanikiwa.
Huu ni ujasusi wa kimichezo, Yanga anaweza kubeba ndoo ya Afrika kwa mipango waliyokuwa kwan ni suala muda tu, hawaiangalii tena ligi ya ndani, hawaoni wa kushindana naye tena, wameweka watu ndani ya Simba wanawapa information zoteeee, niko hapa naongea uongo subirini ngao ya hisani mtawaona watakapoanza kuokota tena vikombe.
Mwamba yupo vizuri Bil 87 si kitu kidogo.These people are very serious in their planning, wamelivamia soka lenye mashabiki weng wakaingiza products zao na wamefanikiwa.
Ili uweze kufanya vizuri kwenye biashara zako make sure una timu yenye kuleta ushindani na kuwapa furaha watanzania, pia hakikisha mpinzani wako unamdhoofisha.
Yanga wanafanya vzr hivyo GSM biashara zake zinakwenda balaa.
Ss hv amevamia biashara alizokuwa akifanya Mo Dewji, Maji yanafanya vzr sokoni, ss hv ameingiza vinywaji kwa kutumia nembo ya Yanga, Yanga hawawezi tena kupiga kelele kwa sababu shida yao furaha. UKIHOJI kama mzee Magoma utajuta kuzaliwa
Ss hv wanataka kuichukua TFF waweke watu wao wamalize shughuli, wanamtumia Wakili Komba na Angetile, hao wanazi wa Yanga lia lia.
Mo Dewji hawezi toboa, biashara zake zinaenda kukumbana na biashara ya GSM huku azam akifanya vzr, biashara zake zikishuka hatoweza kuidhamin Simba na hapo Yanga atatoboa zaidi ya hapo.
Ss hv mpango unaoendelea ni kuiporomosha Simba had nafasi ya nne na kuipromote Singida na Azam ili Yanga awe bingwa milele, watafanikiwa.
Huu ni ujasusi wa kimichezo, Yanga anaweza kubeba ndoo ya Afrika kwa mipango waliyokuwa kwan ni suala muda tu, hawaiangalii tena ligi ya ndani, hawaoni wa kushindana naye tena, wameweka watu ndani ya Simba wanawapa information zoteeee, niko hapa naongea uongo subirini ngao ya hisani mtawaona watakapoanza kuokota tena vikombe.
Kama GSM anaeekeza hawekezi Kwa ajili ya kushindana na Simba ila ana malengo yake kimataifaThese people are very serious in their planning, wamelivamia soka lenye mashabiki weng wakaingiza products zao na wamefanikiwa.
Ili uweze kufanya vizuri kwenye biashara zako make sure una timu yenye kuleta ushindani na kuwapa furaha watanzania, pia hakikisha mpinzani wako unamdhoofisha.
Yanga wanafanya vzr hivyo GSM biashara zake zinakwenda balaa.
Ss hv amevamia biashara alizokuwa akifanya Mo Dewji, Maji yanafanya vzr sokoni, ss hv ameingiza vinywaji kwa kutumia nembo ya Yanga, Yanga hawawezi tena kupiga kelele kwa sababu shida yao furaha. UKIHOJI kama mzee Magoma utajuta kuzaliwa
Ss hv wanataka kuichukua TFF waweke watu wao wamalize shughuli, wanamtumia Wakili Komba na Angetile, hao wanazi wa Yanga lia lia.
Mo Dewji hawezi toboa, biashara zake zinaenda kukumbana na biashara ya GSM huku azam akifanya vzr, biashara zake zikishuka hatoweza kuidhamin Simba na hapo Yanga atatoboa zaidi ya hapo.
Ss hv mpango unaoendelea ni kuiporomosha Simba had nafasi ya nne na kuipromote Singida na Azam ili Yanga awe bingwa milele, watafanikiwa.
Huu ni ujasusi wa kimichezo, Yanga anaweza kubeba ndoo ya Afrika kwa mipango waliyokuwa kwan ni suala muda tu, hawaiangalii tena ligi ya ndani, hawaoni wa kushindana naye tena, wameweka watu ndani ya Simba wanawapa information zoteeee, niko hapa naongea uongo subirini ngao ya hisani mtawaona watakapoanza kuokota tena vikombe.
Zile nao 2 zilikuomdolea kabisaaa ujasiri wako mkuuMnajikutagaaa....msyuuu