Kwa uwekezaji unaofanywa na GSM, ni vigumu sana Simba kutoboa

Kwa hali ilivyo Simba kujilinganisha na Yanga ni Kuikaribisha Sonoma
 
Hivi Sheria za Tanzania zinaruhusu wachezaji wangapi kutoka. Nje kwa timu Moja?
 
Hakuna lolote . Timu inatumia pesa za serikali kujiendesha kwakuwa ina watu wako kwenye chungu cha pesa wanachota na kumwaga pesa utopoloni kuendesha mambo yao . Siku uongozi ukibadilika mambo yatabaki yaleyale ya hakina Yikpe
 
Ni kweli kabisa uyasemayo....MO alipoanza kuwekeza Simba aliwekeza fedha na management kwa kumleta Senzo, lakini Senzo hakufanikiwa kwahiyo Simba iliweza kufanikiwa zaidi kutokana na uwekezaji wa fedha lakini kwenye management imefeli mpaka Sasa....
Kwenye upande wa GSM amefanikiwa kwa staili yake ya uwekezaji na management,,,,alimtumia Senzo, Laliga na uwezo wa kiongozi Hersi....na uzuri kwa yanga ,GSM hajishughulishi na masuala ya kiuongozi.
Kama ulivyosema Simba inatakiwa ijitazame kwenye suala la management bado wako kishabiki zaidi.

Shida yao wote wawili Simba na yanga ni kutegemea watu badala ya kujenga taasisi imara.
 
Yanga kuna GSM kuna Rostan na kuna Bosi:
Hivyo ishu ya Usajali hawasitisiti hata kidogo wanamtuma Hersi anamaliza mchezo fasta fasta sana:
Simba mchezaji aonwe na mtafuta wachezaji, aripoti kwa mkurugenzi wa Simba, naye aripoti kwa Mangungu, naye aripoti kwa Try Again, naye aripoti kwa Mwekezaji ili atafakari na kuitisha kamati ya usajiri ili ijadili kuja kushtuka mchezaji kesha chukuliwa:

Hili lilitokea kwa Azizi Ki, Aucho, Pakome na Zengeli na kwasasa limetokea kwa Konte:
Simba tuendelee kuvumilia maumivu tu:
 
Au niache kushabikia kabisa basi...πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
🀣🀣🀣

Itakuwa ngumu sana ujue wewe ni shabiki kinda kindaki kuzama na kuacha si jambo jepesi na hakuna dawa ya kukufanya usahau 🀣🀣🀣

Msingi ni kubadiri tu gia angani
Nipo nitakupa kampani hutijuta kabisa
 
🀣🀣🀣

Itakuwa ngumu sana ujue wewe ni shabiki kinda kindaki kuzama na kuacha si jambo jepesi na hakuna dawa ya kukufanya usahau 🀣🀣🀣

Msingi ni kubadiri tu gia angani
Nipo nitakupa kampani hutijuta kabisa
Daah na Mo Hussein mmemchukua basi sawaa...ngoja tupambane na timu yetu tunaanza upyaa
 
Daah na Mo Hussein mmemchukua basi sawaa...ngoja tupambane na timu yetu tunaanza upyaa
🀣🀣🀣
Daah na Mo Hussein mmemchukua basi sawaa...ngoja tupambane na timu yetu tunaanza upyaa
Natamani

Uje bhana achana na machizi bado tunafuata wengine

Tupo mbioni kumsajiri mo pia

🀣🀣🀣
 
🀣🀣🀣

Natamani

Uje bhana achana na machizi bado tunafuata wengine

Tupo mbioni kumsajiri mo pia

🀣🀣🀣
Haya mtani ila kuhama timu ni uzuzu...mpaka ituuee...😊😊😊😊
 
Haya mtani ila kuhama timu ni uzuzu...mpaka ituuee...😊😊😊😊
Pole mtani

Inabidi nije kukuchumbia harafu tutaona juu kwa juu walau tu niwe faraja yako 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…