Kwa uwezo mkubwa wa Mayele ni Mwehu tu ndiyo atasema Phiri na Baleke wako juu yake

Kwa uwezo mkubwa wa Mayele ni Mwehu tu ndiyo atasema Phiri na Baleke wako juu yake

Fiston Kalala Mayele ni Mshambuliaji mwenye kila Kitu ambacho Kocha atakipenda.

Kwanini GENTAMYCINE nampenda mno Fiston Kalala Mayele kuliko Wengine Wanaojitafuta akina Phiri na Baleke?

1. Mayele ana Akili nyingi
2. Mayele ni Mpambanaji
3. Mayele anajituma vilivyo
4. Mayele ana Nguvu
5. Mayele ana Spidi
6. Mayele anajitambua
7. Mayele ana Nidhamu

Itatuchukua Tanzania ( hasa Ligi Kuu yetu ) kuwa na a Complete and Talented Striker kama Fiston Kalala Mayele.

GENTAMYCINE sijawahi Kupenda Vibovu Vibovu na nikisema Namkubali Fiston Kalala Mayele ninamaanisha na siyo Phiri na Baleke ambao Kwangu Mimi nawaona ni wa Kawaida mno Kiuchezaji.

Ukiununia huu Ukweli, Uwazi na Uwasilishaji wangu juu ya Fiston Kalala Mayele tafuta Sumu ya Panya ikoroge Unywe Ufe kabisa.

Kudadadeki.

Yanga SC Bingwa wa CAFCC 2023.
Wanaosema Baleke na Phiri ni zaidi ya Mayele, namna ya kuwasaidia ni kuwaachia ball possession 61% kama Marumo, halafu wewe ubaki na hizo ball possession at 39%.

Muhimu uvuke nusu fainali uende fainali. Maana kwenye fainali ya Mungu mengi.
 
Nakubaliana na wewe, anatoa kila kitu kila game anacheza kama hachezi tena! Sio kwamba ana talent ya kutisha ila anaweka kila kitu kama mtu anayepigania uhai halisi.Purely deadly striker!

Lakini pia hii spirit ya wachezaji wa Yanga pamoja na viongozi kufanya kazi yao ila kocha Nabi amepandikiza roho ya kikatili kwa vijana wake. Namna wanavyojitoa kama wachezaji hawahawa wa Simba wangepush to that level wangefika mbali zaidi.
 
Fiston Kalala Mayele ni Mshambuliaji mwenye kila Kitu ambacho Kocha atakipenda.

Kwanini GENTAMYCINE nampenda mno Fiston Kalala Mayele kuliko Wengine Wanaojitafuta akina Phiri na Baleke?

1. Mayele ana Akili nyingi
2. Mayele ni Mpambanaji
3. Mayele anajituma vilivyo
4. Mayele ana Nguvu
5. Mayele ana Spidi
6. Mayele anajitambua
7. Mayele ana Nidhamu

Itatuchukua Tanzania ( hasa Ligi Kuu yetu ) kuwa na a Complete and Talented Striker kama Fiston Kalala Mayele.

GENTAMYCINE sijawahi Kupenda Vibovu Vibovu na nikisema Namkubali Fiston Kalala Mayele ninamaanisha na siyo Phiri na Baleke ambao Kwangu Mimi nawaona ni wa Kawaida mno Kiuchezaji.

Ukiununia huu Ukweli, Uwazi na Uwasilishaji wangu juu ya Fiston Kalala Mayele tafuta Sumu ya Panya ikoroge Unywe Ufe kabisa.

Kudadadeki.

Yanga SC Bingwa wa CAFCC 2023.
Asante sana kwa maoni mazuri
 
Umechelewa sana na nakupa Pole nyingi mno kwa Kutokujua kuwa GENTAMYCINE nina Akili ( Intelligent ) hapa JamiiForums na Nje ya JamiiForums.

Nisaidie Kuniulizia kwa hao Wanaoniona Mwehu kuwa kwanini pamoja na kuniona hivyo ila 24/7 ( Kila Siku ) hunisoma hapa JamiiForums, hufuatilia Mada zangu hapa JamiiForums na wana Maoni gani pamoja na Mimi kuitwa Mwehu na Wao ila kila Siku tu idadi ya Followers wangu hapa JamiiForums inaongezeka tu? Mwehu anafuatiliwa?

Kinachowatesa hao Wapumbavu wote ( wanaoniita Mwehu ) ni Mimi GENTAMYCINE Kubarikiwa na Tunu / Shani Kuu Nne ( 4 ) za kuwa "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" hivi na waambie wakitaka Wasoteseke na Mimi waombee Nife ila nikiwa Hai nitawatesa kuliko.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
Tayari KUMEKUCHA
 
Kikubwa kinachonishangaza Kwa huyu Bwana ni nidhamu yake. Kuna binadamu wanajua professionalism mpaka wanakera.
Uliyoongea yote uko sahihi Mkuu, penye ukweli tuseme.
Juu ya yote hana majivuno kabisa, ingekuwa wengine sasa.
 
Back
Top Bottom