Kwa uwezo mkubwa wa Mayele ni Mwehu tu ndiyo atasema Phiri na Baleke wako juu yake

Wanaosema Baleke na Phiri ni zaidi ya Mayele, namna ya kuwasaidia ni kuwaachia ball possession 61% kama Marumo, halafu wewe ubaki na hizo ball possession at 39%.


Muhimu uvuke nusu fainali uende fainali. Maana kwenye fainali ya Mungu mengi.
 
Nakubaliana na wewe, anatoa kila kitu kila game anacheza kama hachezi tena! Sio kwamba ana talent ya kutisha ila anaweka kila kitu kama mtu anayepigania uhai halisi.Purely deadly striker!

Lakini pia hii spirit ya wachezaji wa Yanga pamoja na viongozi kufanya kazi yao ila kocha Nabi amepandikiza roho ya kikatili kwa vijana wake. Namna wanavyojitoa kama wachezaji hawahawa wa Simba wangepush to that level wangefika mbali zaidi.
 
Asante sana kwa maoni mazuri
 
Tayari KUMEKUCHA
 
Kikubwa kinachonishangaza Kwa huyu Bwana ni nidhamu yake. Kuna binadamu wanajua professionalism mpaka wanakera.
Uliyoongea yote uko sahihi Mkuu, penye ukweli tuseme.
Juu ya yote hana majivuno kabisa, ingekuwa wengine sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…