Kwa uzalishaji na masoko ya biashara za madini, njoo hapa uliza chochote

Mkuu tupia link hapa watu tujoin...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu swali langu ni ...natokea kenya inawezekana nkaja tz kununu madini ya dhahabu then naexpot kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za leo kutokana na mabadiliko ya sheria katika sekta hii unatakiwa kufanya nini au kuwa na nini ili uweze kupata dealers licenses ya madini nitapenda kujua hatua kwa hatua ahsante
 
Huu uzi nimeuchelewa Jamani nahitaji Gold hapa Dar es salaam... Lakini kila mtu anataka nimpe ela alete mjini na wengine tuliwatumia 2mil mbeya huko lakini hawakuja... Mimi mteja wangu ananiona sina maana... So kwa watu wenye mzigo na yupo serious anishtue maana wabongo tunazingua sana
 
Mimi Nina quartz kam unafaham soko lake naomba unisaidie au yeyote anaefaham anisaidie
 
Lindi mkuu.
Kwa hilo eneo mtuaji mkuu atakuwa ni Dangote, lakini ipo haja ya kutembelea viwanda vya sementi kama Diamond au Faru unaweza kupata soko. Usikate tamaa eneo ulipo ni la kimkakati sana ukilinganisha na wachimbaji wengine. Pia ujue hapo ni karibu sana na Dar hivyo gharama za usafirishaji zitakuwa ni ndogo sana ukilinganisha na Makanya au Itigi au Manda.
 
Hivi dar wapi wananunua madini
Duhh. Nilitaka nikkwambie sokoni, lakini dhamira inanisuta. Ni swali gumu lakini ni jepesi. Soko hutegemea aina gani ya madini na ila ogopa sana watu wasiokuwa na ofisi au madalali hewa. Utapigwa za uso halafu utarudi na kilio!!
 
Duhh. Nilitaka nikkwambie sokoni, lakini dhamira inanisuta. Ni swali gumu lakini ni jepesi. Soko hutegemea aina gani ya madini na ila ogopa sana watu wasiokuwa na ofisi au madalali hewa. Utapigwa za uso halafu utarudi na kilio!!
Nipe ofisi za uhakika ziko wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…