Kwa uzalishaji na masoko ya biashara za madini, njoo hapa uliza chochote

Kwa uzalishaji na masoko ya biashara za madini, njoo hapa uliza chochote

Hiii thread bado inaishi?
Ilikuja serikali ya magu ikachukia matajiri Kisha Corona mpaka Leo biashara iliyobaki ni Dhahabu.ila kwa Vito labda upate gem Sana na soko la hapa utadalaliwa mpaka ukome kama unaweza pata nyooka South Korea .
 
Kiongozi Mimi nataka nijifunze kitu Kuna sehemu Kuna Mali na waliweka wakoloni sasa namna ya kuwapatia wateja hasa wazungu wenye interest maana Kuna mekyuli, dhahabu yenye rangi nyekundu na dhahabu yenye rangi ya bluu je naweza kuwapatia tukafanya biashara nao?
Mkuu ogopa matapeli
 
Back
Top Bottom