Kwa uzandiki aliofanya January Makamba kwa Hayati Magufuli hakupaswa kuteuliwa kuwa waziri. Uzandiki dhidi ya Rais ni kosa kubwa sana

Mwalimu Nyerere alifanya "uzandiki" kwa wakoloni lakini baadaye walimkubali bila shuruti
 
Lengo lao tumelishajua ila 2025 kanda ya ziwa kwa umoja wetu tumekubaliana kuwafundisha adabu katika sanduku la kura.
Wawatoe wote halafu wamufukuze Polepole na Gwajiboy,hapo ndo watajua sukuma gang ni jeshi kubwa.
Na wataelewa kwanini Kikwete aliwahi kuanguka hadharani Dar na Mwanza pekee na siyo Msoga.
 
Tumekusikia Mulaga
 
Nipo Chato hapa hawaamini walichofanyiwa kwa mbunge wao wanajifariji siku ya kuzima mwenge watapewa mkoa ndiyo tumaini walilobaki nalo nawangalia tu na kusema moyoni Chato itarudi kuwa kijiji na mataa yatanyewa na ndege yasitoe hata mwanga.​
 
Lakini ujumbe ukifika kwa mlengwa,ile tabia ya umjini ilipungua kwa kiasi fulani
 
Kama kanda ya ziwa mngekuwa na uwezo wa kufundisha watu kwenye box la kura, Magufuli asingeagiza wizi wa kura tuliouona 2020.
Kila uchaguzi mnaibiwa nyie tuu, hii inaonesha ni jinsi gani mlivyo vichwa maji hamna akili.
 
Kujenga yajayo ndio jambo la msingi kwa Taifa letu,na pia kila mtu anakosea akijisahihisha tunakuwa tunaendelea mbele kwa kujenga taifa moja
 
Mama aendelee kuchapa kazi na aendelee kuteua watu anaowaona wanafaa ktk kulijenga taifa na tunamuombea Mungu azidi kumlinda na kumpa afya njema
 
UNAHITAJI MAFUTA YA DK MWAMPOSA

MAJI YA KUHANI MUSA

CHUMVI TOKA KWA GWAJIMA YAANI WAKUCHANGANYIE UJIMWAGIE ASBH NA JIONI WIKI MOJA
 
Si umeshasema aliomba msamahaa ,kumbe hamkumsamehe...Basi sawa watumbatu tumemsamehe
 
Wewe ndio mzandiki. Full stop.

Walikuwa wanamsengenya mwendazake au walikuwa wanasema ukweli kuhusu mapungufu yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…