Kwa uzoefu na uelewa wangu wa soka la Bongo, Leo Azam washinde au washindwe kocha atatimuliwa

Timu yenyewe ni kama wamekutana Leo asubuhi mchana wakakutana na Mechi.
 
Azam wapuuzi,
Wanaweza endelea na huyu mjinga aisee
 
Kwa mbaali nawaona akina Kalimangonga, Moriss na hata Mgunda kupiga Jaramba kwenda kubeba Mikoba ya Kocha Dabi na Benchi lake zima la Ufundi.

Kudadadeki....!!
 
Tulisema humu wakati anakuja, Dabo anaeza kuwa wa kwanza kuondoka

Azam mnasema wana hela lkn mbn makocha wao ni wa viwango duni ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…