Kwa uzoefu wako juu ya Maisha toa maoni yako kuhusu msemo huu

Unajua kwa nini ni anguko kuu? Kimsingi, pointi kubwa hapa inaanzia kwenye kukosekana kwa gratitude yaani shukrani. Binadamu ana asili fulani ya kusahau shida haraka sana pindi mambo yake yanaponyooka, na hapa ndipo maisha huwa yanakuja na ile tabia yake ya kutufundisha kwa lazima. Universe au maisha yana mfumo wa kipekee sana wa kuweka mambo sawa.

Ukianza kuonyesha dharau kwa watu waliokuwepo kwenye background yako au ukaanza kuwadharau wale ambao bado wapo chini kiuchumi au kimaisha, unakuwa umejifungulia mlango wa kupoteza network na baraka zako, watu watajitenga na wewe kwa sababu ya hiyo tabia yako, na ile misingi iliyokubeba mwanzoni itaanza kulegalega bila wewe kujua, so mwisho wa siku, it's all about karma.
 
Umefafanua vema mkuu.
Kukosa shukrani,na sio tu namna tunavyowatreat wengine Bali na namna tunavyoenenda sisi binafsi.

Mfano Kuna mtu anakulia Maisha ya masimango,kufukuzwa.anasali sana afanikiwe na anafanikiwa lakini lakini baada ya kufanikiwa na yeye anageuka msimangaji na kufukuza wengine wasionacho.kwa namna hiyo ataweza vipi kumaintain zile baraka alizopewa?
 
Hii situation ni ngumu sana, ukweli ni kwamba, huwezi kulinda baraka kwa kutumia silaha ile ile iliyokuumiza wewe zamani, unapoanza kuwasimanga tena wale wasio nacho unakuwa unatengeneza negative energy kubwa sana itakayozunguka maisha yako.

Zile dharau unazowapa watu, huwa zinazaa maumivu na kilio cha siri ndani ya mioyo yao, na unajua nini mkuu? Kilio cha mtu anayeonekana hana thamani huwa kinaenda direct kwa Mungu, yani unakuwa unajipalia makaa ya moto wewe mwenyewe kwa sababu utakuwa unavuta laana na dua mbaya kwenye maisha yako badala ya baraka.

Maisha huwa yana mfumo wake wa karma usiopingika, muda si mrefu, dhoruba ya maisha itamrudisha kule kule tena alipotoka ili akajifunze unyenyekevu kwa lazima, kifupi huwezi kudharau misingi ya utu halafu utegemee baraka zako zidumu, it's impossible Mkuu.
 
Binadamu ni kiumbe chenye tamaa Sana halafu hapo hapo ni msahaulifu, Maskini Hana Kiapo kabisa...Mtu akiwa na njaa atasema mabaya yote ya wenzake lakini akishiba yeye ndio atakuwa mfanya ubaya ule ule aliokuwa anakemea mwanzo.
 
Lakini mbona baadhi ya watu wenye matendo maovu wanastawi zaidi?
 
Kama kiongozi Fulani akiwa chini utakuwa oh Fulani ana roho mbaya dikteta, muuaji!
Ila akija kuyapata yeye hayo madaraka🤣🖐️
 
Lakini mbona baadhi ya watu wenye matendo maovu wanastawi zaidi?
Kuhusu hili kwa kweli sina jibu la moja kwa moja la kueleweka ila ninacho elewa mimi nature operates on its own timeline. Kuna kitu kinaitwa the law of seed and harvest. Mbegu ya uovu inaweza ikachukua miaka mingi kukomaa, na wakati mwingine maisha huwa yanawaacha wasitawi ili anguko lao likija liwe la kihistoria na lenye fundisho kwa wengi.
 
Nimekuelewa
 
Back
Top Bottom