Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata asikilize mahubiri mimi sisikilizi katuDada yako akisikiliza qasida na weww hutasikiliza?
Acheni ujinga! Huyo ni sanaa bhana na hiyo tafsiri yako wewe. Mijitu imejaa udini.Nikiwa nasherehekea ujio wa mtoto wa tatu katika Ndoa Yangu nataka niandike haya machache katika jukwaa hili ili ndugu yangu shemeji yangu Rayvanny uokoe roho yako.
Mambo mengi yametokea huko Wasafi ambayo yamehusihanishwa na vita vya kiroho baina ya Upande wa Mungu Baba Mwana Na Roho Mtakatifu na ule wa Al Lah.
Mstari huu katika wimbo wa Kwangwaru unathibitisha mtizamo wa mwimbaji dhidi ya Maneno ya Bwana wetu Yesu Kristu.
"Moyo wangu wa muarobaini
Mchungu ukiuziwa
'Samehe mara sabini
Huo uzungu sija jaaliwa"
Kwamba maneno "Samehe mara Sabini" ni mambo ya wazungu ma hayana maana kwake.
Hata kujenga kanisa ni "uzungu" na hawajajaliwa hao Wasafi.
Baadae watakulazimisha kusilimu maana ukristu ni "uzungu" tuu kwao.
Shetani alimjaribu Yesu akimwambia " ukinisujudia nitakupa milki hii yote" Hivyo hivyo namuona shetani akikuambia hivyo hivyo shemeji yangu na weww unamwangukia. Hima Ondoka hapo.
Huwa wanatabia ya kuwatumia watu kama ninyi maarufu ili wateke wenye imani dhaifu.
Shutuka! Kimbia!
Huu ni ukweli watu wanaoujua ila wanaona aibu kuutaja kwa sauti.watu wote wenye dini ni wadini huwa tunaji control kwa ajili ya mahusiano mema kijamii lkn ukweli ni kwamba muislam na mkristo kiimani ni maji na mafuta uamini usiamini
huu ndio ukweli, kila mtu anaamini kuwa anachokiamini ni sahihi kuliko mwingine.Huu ni ukweli watu wanaoujua ila wanaona aibu kuutaja kwa sauti.
Ni sawa na swala la ukabila, ubaguzi wa rangi, ni nature.
Hata Diamond mwenyewe.... Imani yake imebaki kwenye jina tuu... Matendo yake mengi hayaakisi Uislam wa kweli... Matendo yake yanajinasibu na 'Ukhafir'Nikiwa nasherehekea ujio wa mtoto wa tatu katika Ndoa Yangu nataka niandike haya machache katika jukwaa hili ili ndugu yangu shemeji yangu Rayvanny uokoe roho yako.