Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashangaa kwani kama Fulani katoka ndo wote lazima watoke?Akimbie mmeshaandaa sehem ya kumpokea au mnaropoka tu, kila mtu na maisha yake pambaneni na hali zenu
Duuhhh yaan leo ndo nmeona unatusMmmh we nae punguani. ...
Amekuja na id nyingine nini, jamaa mdini sana yuleaka2030 una ID ngapi humu?
Wewe wasemaHakika dini ya kweli mbele ya mwenyezi Mungu ni uislam tu.
Huyo Moderator anafaa kuanza ku-deal na wewe unayeleta takataka za udini tena bila hata ya aibu!Moderator naomba adhabu kwa jini/ghost huyu kwa kukiuka sera ya Jamii Forum ya kuheshimu mawazo ya ghost mwenzie.
Social lounge sio jukwaa la kuendekeza haya mambo yenu ya udini... kama mpo interested sana na kushindana dini ipi ni bora kuliko nyingine, kwanini msiende kwenye jukwaa la dini?!Hakika dini ya kweli mbele ya mwenyezi Mungu ni uislam tu.
bora kuanza moja ilhali ukijenga chakoAkimbie mmeshaandaa sehem ya kumpokea au mnaropoka tu, kila mtu na maisha yake pambaneni na hali zenu
maadam wako nyumbani mwake ni wakeAisee hao watoto una uhakika kuwa ni wako aisee...?.
watu wote wenye dini ni wadini huwa tunaji control kwa ajili ya mahusiano mema kijamii lkn ukweli ni kwamba muislam na mkristo kiimani ni maji na mafuta uamini usiaminiAmekuja na id nyingine nini, jamaa mdini sana yule