Kwa Verse hii ya Mondi, Rayvanny mfuate Mavoko!

Kwa Verse hii ya Mondi, Rayvanny mfuate Mavoko!

umemdharau sana huyo mtoto wako kwa kumchanganya na hii habari
 
Nachukia sana mijitu inayotaka kuleta mambo ya udini kwenye social lounges!!
 
Hakika dini ya kweli mbele ya mwenyezi Mungu ni uislam tu.
Social lounge sio jukwaa la kuendekeza haya mambo yenu ya udini... kama mpo interested sana na kushindana dini ipi ni bora kuliko nyingine, kwanini msiende kwenye jukwaa la dini?!
 
Amekuja na id nyingine nini, jamaa mdini sana yule
watu wote wenye dini ni wadini huwa tunaji control kwa ajili ya mahusiano mema kijamii lkn ukweli ni kwamba muislam na mkristo kiimani ni maji na mafuta uamini usiamini
 
Last edited by a moderator:
Baba wa watoto watatu bado unafuatilia mambo ya wavulana... Haya na ww piga mswaki kwenye lips uwe na lips za pink..[emoji182]... Povu ruksa
Hizo tabia zenu mie Dume la mbegu sizitaki taki taki.
 
Back
Top Bottom